Namba yake please ili nikienda namimi nipitie hapo petrol station anipe huduma ya kunijazia mafutaBar yako kama haina pisi kali, siji, na pisi kali kiukweli zinapatikana Singida au Bukoba, Nakumbuka huwa nikisafiri kuelekea Mwanza, lazima nilale Singida. Mitaa ya uwanja wa mpira wa Namfua, kuna shell moja ipo barabarani karibu na mataa, kuna pisi moja nyeupe inafanya kazi pale sheli mwanangu, unaweza kudhani sio Mtanzania, kumbe ni Singida United, shida yao Beki hazikabi, ukiwa nayo hesabu muda wowote utapigiwa
Nasema uongo?Im imagine 😄🤣
Zawadi nione kwanzaNsamehe nitakupa zawadi
Uzinzi tu kuoa aaanh!Duhh huko mbona sijawahi kufika masikini Mimi nasubiri Nini !!! 🤣😄
Mwanasheria unabadili tu idyaan mdada anangoz lain sauti lain macho n kama unaniita utaachaje kuingia pub maana singida ina watoto wazur
Nmekutumia pmZawadi nione kwanza
Hakuna ulichotuma we mbuziNmekutumia pm
yan nawe m'dada kila siku unaanza ugomvMwanasheria unabadili tu id
Itakuwa mtandao unasumbua 😭Hakuna ulichotuma we mbuzi
😂😂😂😂 Au basiSijui ni kwanini nahisi ni warembo ndio sababu maana hata mwanza wamekusanya wa ukanda huo ndio wamejazwa bar nyingi!
Kwakweli bado hujajipata😁😁😁Watu tuko tofauti sana,Mimi Kwa kweli huwa sizuzuki na baa yenye wahudumu wakali, priority yangu ni baa yenye unafuu wa vinywaji yaani bei elekezi na nipate varieties zote yaani kuanzia low quality jobo,shimha, ambiance,kitoko,kaitaba😂, diamond,high life na konyagi za kupima na kikubwa wateja waliopo wawe wenye ngeo usoni maana napenda sehemu zenye fujo na shari.Sasa sijui ndio bado sijajipata nitafute kwanza pesa au niaje🤔
Hii sikupiga, na wala namba yake sikuchukua. Ila nilikuwa natoa tu ushuhuda namna gani hawa watu walivyojaaliwa. We siku ukipita singida, nenda kajaze mafuta pale.Au jitahidi ulale singidaNamba yake please ili nikienda namimi nipitie hapo petrol station anipe huduma ya kunijazia mafuta
Sasa hapo ugomvi umetoka wapi?yan nawe m'dada kila siku unaanza ugomv
Beki hazikabi..Bar yako kama haina pisi kali, siji, na pisi kali kiukweli zinapatikana Singida au Bukoba, Nakumbuka huwa nikisafiri kuelekea Mwanza, lazima nilale Singida. Mitaa ya uwanja wa mpira wa Namfua, kuna shell moja ipo barabarani karibu na mataa, kuna pisi moja nyeupe inafanya kazi pale sheli mwanangu, unaweza kudhani sio Mtanzania, kumbe ni Singida United, shida yao Beki hazikabi, ukiwa nayo hesabu muda wowote utapigiwa
Nakushauri beba nywea nyumbani.Hili sijalijua bado mkuu,mimi bar huwa ninafuata pombe tu