Kwanini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wapambanaji na wanaojielewa?

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji.

Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuri au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa anajiuliza mara mbili mbili na mwishoe hataki kuo

Na kama akioa basi kama mdada ana kazi nzuli basi sharti atataka amwachishe kazi ndo amuoe na kama ana biashafa nzuli atamwachisha biashara ili awe mama nyumbani asifanye kazi .

Je, tatizo huwa ni nini maana hata bamkubw

Lakini mwanamke akiwa sio mpambanaji yaani hana kazi wala chanzo chochote na pesa na asiyejielewa ndio tunapenda kuoa
 
Kwa mwanamke akiwa na vitu hivyo basi atakuwa ameambatana pia na kiburi,dharau, kujiona, ubishi na ufahari!.
Kwa mwanaume mwenye akili asiependa ukenge wa kujiingiza mkenge hawezi oa mwanamke wa hivyo!.

Kwa mwanamke mwenye akili hata awe na elimu au mali kushinda Elon musk, elimu na mali zake vitakuwa ni sehemu ya kuendeleza ndoa yake na sio kuleta ukenge.

Kwa ufupi tu nafikiri mtakuwa mmenielewa.
 
Asilimia kubwa akishakua na hizo sifa upambanaji wake unazaa mapambano mengine ndani ya nyumba badala ya kua msaada katika kuleta maendeleo ya familia, japo wapo wengine wanaojielewa hugeuka msaada mkubwa hasa pale uchumi wa baba unapolega lega au katika kupush maendeleo ya familia wakiongeza nguvu katika kile alichonacho baba
 
Hapana wanaoogopa ni wavulana....bali mwanaume anaoa mwanamke yeyote waliyekubaliana katika hilo..........

Mwanaume anatumia akili zaidi kuliko hisia na mvulana anatumia hisia zaidi kuliko akili Hali ya kuwa tumeagizwa tuishi nao kwa akili.....

Ukitambua maana ya uanaume wako na wajibu na thamani yako yako kama mwanaume basi unaweza ukamuoa mwanamke yeyote na mkaishi vyema kabisa.....

Kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume na mvulana......

Uanaume au uvulana unapimwa na kutofautishwa kwa ukomavu na weledi wa namna unavyoyaendea au kuyashughulikia mambo yako......

Na ni rahisi kujua kama utatumia fahamu zako kwa usahihi....
 
Wengi hapa watakuambia wanaume hawaoi wanawake wa hivyo sababu ni wajeuri sijui wajuaji na bla bla kibao! Ila ukweli ni kwamba wanawake wanaojielewa wengi hawataki kupelekeshwa!

Wanaume wengi wanataka wanawake ambao wataweza kuwapelekesha kwa kila kitu hata kwenye mambo ya kipuuzi! Kwa kifupi wanataka wale wanawake wa kila kitu "ndiyo mume wangu"!

Wanataka wanawake ambao hata ukiwaonesha bia na ukawaambia hii ni juisi basi wasibishe wakubali na wakae kimya hata kama ni kweli wanaona hiyo ni bia! Kwao hao ndiyo wife material!

Mtu anataka aoe mke aliyesoma na anayetafuta pesa ili amsaidie majukumu yake ila asiingilie nafasi yake kitu ambacho kwa wanawake wengi hakiwezekani! Ukimuachia majukumu yako kubali kumuachia na nafasi yako!

Uhalisia ndiyo uko hivyo ukitaka kuoa mwanamke wa kukusaidia majukumu yako wakati yake humsaidii lazima tu utamuona ana dharau na kiburi! Hasa kama mwanaume mwenyewe ndiyo wale wale mliokunywa uji wa mgonjwa!
 
Sasa wewe mtu anatoka asubuhi anarudi jioni hapiki na mshahara anao mnono ila wewe ndo unalipa kila na gharama za maisha

Kuna umuhimu gani wa yeye kufanya kazi hata huko kazini wanawake wanazingua wengi kila siku mara mtoto anaumwa anaomba ruhusa, mara hajisikii vizuri akiwa maternity

Huo uhalisia wao na walivyoumbwa na mungu hawawezi kufanya za kushughulisha

Mfano kuna mdada alikuwa anafanya kazi kwa wahindi analipwa kama laki Saba kipind ichi Cha ukosefu ajira akapata mimba ila hakuwa na mkataba akajifungua mwezi uliopita hawakumuona karibia mwezi tangu ajifungue kazi haziendi Kwa section yake wamemtimua wakipiga mahesabu atakaa miezi Saba mbele nyumbani wakaona waajiri kijana mwingine wa kiume
 
Mkuu nisome vizuri nimeongelea mwanamke ambaye anatafuta pesa na anamsaidia mumewe majukumu hao ambao hawasaidii chochote lazima watimize majukumu yao kikamilifu! By the way oeni ambao hawajasoma wala hawana kazi wala biashara ili mjue moja kuwa mmeoa magolikipa basi kuliko kuoa hao ambao wanatafuta ila pesa zao hazionekani!
 
Mwanamke anajifanya mpambanaji au mpambanaji kweli( maana wengi wanafake upambanaji) .

Hawa watu hawanaga uanamke ndani yao, sasa wewe umeoa upambanaji au mke.
Wengi wao akishakua na pesa akili ya kuishi na watu anakua hana tena, na tatizo ndo linaanzia hapo sasa.
Mifarakano haiishi, sasa kama unajua yote hayo ya nini uoe mtu wa namna hiyo.
 
Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji ........

Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuli au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa anajiuliza mara mbili mbili na mwishoe hataki kuo

Na kama akioa basi kama mdada ana kazi nzuli basi sharti atataka amwachishe kazi ndo amuoe na kama ana biashafa nzuli atamwachisha biashara ili awe mama nyumbani asifanye kazi .

Je tatizo huwa ni nini maana hata bamkubw

Lakini mwanamke akiwa sio mpambanaji yaani hana kazi wala chanzo chochote na pesa na asiyejielewa ndio tunapenda kuoa
Hao itakua kila siku mnabishana nao ndani,wanasemaga nina kazi yangu usinibabaishe 😄😄

Oa uje uone moto pamoja na kazi yao hua hawana msaada
 
Mwanamke anajifanya mpambanaji au mpambanaji kweli( maana wengi wanafake upambanaji) .

Hawa watu hawanaga uanamke ndani yao, sasa wewe umeoa upambanaji au mke.
Wengi wao akishakua na pesa akili ya kuishi na watu anakua hana tena, na tatizo ndo linaanzia hapo sasa.
Mifarakano haiishi, sasa kama unajua yote hayo ya nini uoe mtu wa namna hiyo.

Kweli 100%
 
Mkuu nisome vizuri nimeongelea mwanamke ambaye anatafuta pesa na anamsaidia mumewe majukumu hao ambao hawasaidii chochote lazima watimize majukumu yao kikamilifu! By the way oeni ambao hawajasoma wala hawana kazi wala biashara ili mjue moja kuwa mmeoa magolikipa basi kuliko kuoa hao ambao wanatafuta ila pesa zao hazionekani!
Boss kutokana na harakati za kwao za Sasa mi ngumu sana maana unajua mwanamke anataka mume atoe kile mtu ndo maana hamna maana ya kuwa na mke mwenye kazi.

Wapo wanawake ni msaada wanajielewa kabisa katikw kupambaniw familia zao assume Kuna rafiki yangu ana msharaha pungufu na mkewe yaani mkewe yupo taasisi kaajiriwa ana mwaka Sasa Ina msharahar mrefy kuliko

Ila anakwambia Kuna siku luku iliisha usiku na huwa anaweka 30k Kwa matumizi Yao akawa Hana kitu Kwa mpesa akamuomba mkewe anunue ila baadae lilikuwa deni amrudishie pesa take yeye mwanamke pesa zake amenunua gari Kwa kuziweka miezi minne tu kazini
 
Kwa mwanamke akiwa na vitu hivyo basi atakuwa ameambatana pia na kiburi,dharau, kujiona, ubishi na ufahari!.
Kwa mwanaume mwenye akili asiependa ukenge wa kujiingiza mkenge hawezi oa mwanamke wa hivyo!.

Kwa mwanamke mwenye akili hata awe na elimu au mali kushinda Elon musk, elimu na mali zake vitakuwa ni sehemu ya kuendeleza ndoa yake na sio kuleta ukenge.

Kwa ufupi tu nafikiri mtakuwa mmenielewa.
Ova ova
Jambo afande
 
The reason miaka ya nyuma ndoa za kipindi hicho zilidumu na haikuwa kawaida kupeana divorce ni kwasababu mwanamke alinyimwa nguvu.

Kubali au ukatae ila hiyo ndio nature

Hata wazazi wa sasa hivi ni kaaida kuaona wanawasisitiza mabinti zao wasome sana kwa bidii wapate kazi ili wasije kusumbuliwa kwenye ndoa zao

Mwanamke wa sasa ana amini elimu au pesa vikiwa kwake basi yuko sehemu salama katika mazingira ya ndoa. Na ndio maana hata ambao wamekosa vitu hivyo wanajitahidi kufanya kila wanaloweza kuolewa na mwanaume mwenye pesa kwasababu mkataba wa ndoa siku hizi unawa favor bado.

Hata akikaa kwenye ndoa ila bado mwanaume anaweza akawa mtumwa kwa mke wake kwa kulazimisha kuishi naye katika mazingira ambayo hapendi kuishi ila hana chaguo kwa kuhofia mgawanyo wa mali.

Sometimes unaweza kuwa unaishi katika nyumba ya kupanga ujirundike uwe na pako lakini kumbe kile kidogo unachodunduliza mwanamke anafanya njama za kujenga kisirisiri eidha kwao huko bila mume wake kujua hiyo ni katika kutengeneza backup for emergency case.
 
Wengi hapa watakuambia wanaume hawaoi wanawake wa hivyo sababu ni wajeuri sijui wajuaji na bla bla kibao! Ila ukweli ni kwamba wanawake wanaojielewa wengi hawataki kupelekeshwa!

Wanaume wengi wanataka wanawake ambao wataweza kuwapelekesha kwa kila kitu hata kwenye mambo ya kipuuzi! Kwa kifupi wanataka wale wanawake wa kila kitu "ndiyo mume wangu"!

Wanataka wanawake ambao hata ukiwaonesha bia na ukawaambia hii ni juisi basi wasibishe wakubali na wakae kimya hata kama ni kweli wanaona hiyo ni bia! Kwao hao ndiyo wife material!

Mtu anataka aoe mke aliyesoma na anayetafuta pesa ili amsaidie majukumu yake ila asiingilie nafasi yake kitu ambacho kwa wanawake wengi hakiwezekani! Ukimuachia majukumu yako kubali kumuachia na nafasi yako!

Uhalisia ndiyo uko hivyo ukitaka kuoa mwanamke wa kukusaidia majukumu yako wakati yake humsaidii lazima tu utamuona ana dharau na kiburi! Hasa kama mwanaume mwenyewe ndiyo wale wale mliokunywa uji wa mgonjwa!
Mutuache wanaume tuwe huru kuoa wanawake tunaowataka, kwa ajili ya furaha na amani yetu
Upambanaji wenu utumieni kujenga maisha yenu, na watoto wenu
 
Back
Top Bottom