Kwanini wanawake wenye pesa hawadumu kwenye ndoa, wengi wao ni single mothers

Katika makuzi yangu nime wahi date hizo type mbili, from humble family na from well off family. Unaonge ukweli kabisa. Waswahili wanasema masikini akipata matako hulia mbwata
 
Katika makuzi yangu nime wahi date hizo type mbili, from humble family na from well off family. Unaonge ukweli kabisa. Waswahili wanasema masikini akipata matako hulia mbwata
I made a vow sitaoa mwanamke ambaye mshamba na limbukeni cause i know the roots of it. Focus yangu imekuwa ni kulenga family ya aina hio humble and well off. Sipendelei kudate na pisi ambazo hazina chimbuko hilo thus why hata mizinga naiskiaga kwa majirani tu.
 
Kuna msemo unasema shika hela tujue tabia yako.Kuna msemo mwingine masikini akipata matako hulia mbwata. .
 
Hakuna kitu kinaudhi kama mizinga, yaani usiombe ukutane na demu ambaye anapiga mizinga 24/7 omba Mungu akuepushie mbali
 
Bad luck.....
Bahati mbaya sanaaa......
Sijui wengine ndo wanaita ku balance maisha......

Hao wanawake ambao ni humble, well raised, well mannered, not after money fully package house wife material..........

Wanakutanaga au wanadondokeaga kwa wanaume mabandidu, makatili, haijui thamani ya mwanamke, mgomvi, wanaume wasiojali for no reason......πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”

And vice versa, mwanaume ambaye anajua kupenda na hata akiwa na hela zake, humble anajali mkewe anajali watoto most of time at home, anapataga mwanamke wa hovyoooo......☹☹☹

Sijui ndo msemo wa the world is not fair...πŸ€”πŸ€”
 
Hakika, mara nyingi shetani anakua kazini
 
Its really a bad luck out there...Wanawake wanaojielewa well raised are rare pieces of value. Sijui kwanini wengi wanakutanaga na majasusi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yes ukioa wa hivyo utapata shida ila nilimaanisha tu kuwa wapo wanawake wasioingiza hata mia,wanategemea waume zao kwa kila kitu ila kiburi kimewajaa ila hayo hayo yakifanywa na mke alomzid mume hela inaonekana kibri cha pesa.
 
Its really a bad luck out there...Wanawake wanaojielewa well raised are rare pieces of value. Sijui kwanini wengi wanakutanaga na majasusi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kama kuna watu/mtu ana control dunia na mahusiano yake, walau angekuwa anabalansisha uwiano, kwamba huyu amkutanishe na huyu watadumu au watakaa, mkorofi amkutanishe na mkorofi wafundishane adabu.....

There's a lot he'll.....

May be kuwe na madalali ambao wanapata uhalisia wa mtu ke na me na kuwaunganisha sema hapo wanaokutanishwa kupendana kuje baadae kikubwa hulka zao kwanza.
 
Makamanda wa kikosi kazi 🀣
Yaani ukiomba number tu tayari mzinga, ukimtongoza tu kodi imeisha una kula mzinga, ukiomba papuchi unapewa mizinga ya matunzo, yaani ni mizinga tu, left and right and up snd down.

Wanawake wanahamisha majukumu ya wazazi wao kwa wapenzi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…