Kwanini watumiaji wa simu za itel, Tecno na Infinix wanadharaulika sana Dar?

Huyo hawajui huawei, mpaka USA aliwapa ban maana wangewaondoa sokoni washindani
 
Nilidhani Motorola ni USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ
 
Hawadharauliki. Wanaokwambia hivyo wana matatizo yao binafsi.
 
me kiukweli hata mimi mwanzo nilipokuwa natumia Tecno nilikuwa naboeka sana nikiona mtu anaiponda hiyo kampuni, though ni simu nzuri kwenye Charge na pia accessories zake ni rahisi kupatikana na ni bei nafuu sana nilizipendea hapo ila nilipokuja kuanza kutumia samsung nimefall in love mazima sahivi ukinipa tecno nafeel kama nipo na power bank vile ila sifeel kutumia simu nyingine zaidi ya Samsung maybe na Iphone zina kila kitu kizuri sijawahi kuzijutia labda charge tu. Iphone pia ni simu nzuri ila ni gereza kwangu mimi sipendi kuwekewa limit kwenye matumiz
 
Jf wanawake wote si mnatumia iphone no mara waah πŸ˜‚
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†kichwa chako.muoneπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kichwa changu kipi hicho cha juu/chini? Kimefanyaje πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata bunduki za kichina, zinaua vizuri tu
 
Nilidhani Motorola ni USA [emoji631]
Motorola ni kampuni ya Texas, USA na headquarters zake zipo huko USA. Lakini baada ya kuona upande wa simu unawashinda wakaamua kumuachia Mchina yaani Lenovo. Kwa sasa simu za Motorola zinatengenezwa China na kampuni ya Lenovo ila bado headquarters zake zipo USA. So Motorola ninazoziongelea ni Chinese phones
Hebu google hapo Motorola Edge 30 Ultra uone unyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…