Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
[emoji23] usitufanyie hivyoInfinix, Tecno na itel sio simu ni vikundi vya wahuni tu.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] usitufanyie hivyoInfinix, Tecno na itel sio simu ni vikundi vya wahuni tu.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Huyo hawajui huawei, mpaka USA aliwapa ban maana wangewaondoa sokoni washindaniNakuongezea tu kitu kichwani mwako
Si kila kitu cha mchina ni cha ovyo. Mfano kwenye simu China ina simu za ovyo kama TECNO, Infinix, itel, Doogee na kadhalika ila pia ana simu kali zenye international standards kama Xiaomi, One plus, Asus, Oppo, Motorola, Meizu na Vivo.
Nitawachapa naoWanafunzi wa form 2 wata kuja kukusema
Lavit anazingua
Nilidhani Motorola ni USA 🇺🇸Nakuongezea tu kitu kichwani mwako
Si kila kitu cha mchina ni cha ovyo. Mfano kwenye simu China ina simu za ovyo kama TECNO, Infinix, itel, Doogee na kadhalika ila pia ana simu kali zenye international standards kama Xiaomi, One plus, Asus, Oppo, Motorola, Meizu na Vivo.
Kasimu kangu kapya bado alafu nakutana na hizi comments dahLavit anazingua
Hawadharauliki. Wanaokwambia hivyo wana matatizo yao binafsi.View attachment 2477728
Kwa kweli mimi si mjuzi sana wa mambo ya simu, maana baada ya kuhama kutoka kwenye Siemens C25 nikahamia kwenye Research in Motion, na baada ya pale nikaenda Seoul, sikuwahi kurudi tena.
Sasa hapa mjini naona tu wazee wa rika langu wananifuata nyumbani eti niwaagizie simu mtandaoni maana wanachekwa kwa wajukuu zao sababu tu ya aina ya majina ya simu wanazotumia.
Mimi sijui tofauti kati ya iPhone, Samsung, Tecno, LG, Sony, HTC, Infinix, Google Pixel , itel nk naona zote ni smart.
Nikiwa na itel au tecno au infinix vicheko vyenu nitavidharau na kuvipuuza
Huawei huwa nazikubali ila naona kama soko lake limeyumbaHuyo hawajui huawei, mpaka USA aliwapa ban maana wangewaondoa sokoni washindani
Jf wanawake wote si mnatumia iphone no mara waah 😂Naona hutaki niwe nachat jeiefu.nimeshakuona 😄
Ni kweli ila haikuhusuMtu hana linda kisa macho matatu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆kichwa chako.muone😄😄😄😄Jf wanawake wote si mnatumia iphone no mara waah 😂
Sema saizi watu wanazipa simu kazi zingine kabisaHiyo ndio maana na kazi ya simu
Kichwa changu kipi hicho cha juu/chini? Kimefanyaje 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆kichwa chako.muone😄😄😄😄
Wanafunzi wa form 2 wata kuja kukusema
Tafuta BlackberryYaani haina ubora haina class yeyote bora Samsung , Iphone napenda sana ila mmh! Ngumu kuitumia isije ikajiloki mie natumia hizi simu za wahuni za bei yakawaida tu red mi basi
Hata bunduki za kichina, zinaua vizuri tuNakuongezea tu kitu kichwani mwako
Si kila kitu cha mchina ni cha ovyo. Mfano kwenye simu China ina simu za ovyo kama TECNO, Infinix, itel, Doogee na kadhalika ila pia ana simu kali zenye international standards kama Xiaomi, One plus, Asus, Oppo, Motorola, Meizu na Vivo.
SiyazamaniTafuta Blackberry
Motorola ni kampuni ya Texas, USA na headquarters zake zipo huko USA. Lakini baada ya kuona upande wa simu unawashinda wakaamua kumuachia Mchina yaani Lenovo. Kwa sasa simu za Motorola zinatengenezwa China na kampuni ya Lenovo ila bado headquarters zake zipo USA. So Motorola ninazoziongelea ni Chinese phonesNilidhani Motorola ni USA [emoji631]
Siyazamani