Kwanini Wazanzibari wengi wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu na Waarabu

Kwani Tipu Tipu alikuja akitokea wapi? Si alikuwa mzaliwa wa Tanganyika tu mwenye asli ya kiarabu, aliyejiona mjanja wa kusaidia kuuzia wajomba zake waarabu, binadamu wenzie?
 

Umeongelea mawe na Singida. Je hawa ndo waandishi wa Mwigulu Rais 2015?
 
Umeeleza vizuri mkuu.
Sijui kama nimeruka sehemu, lakini Karume hakushiriki mapinduzi, hakuwa na ujasiri wowote! Muulize Kassim Hanga, Babu au John Okello! Alas! They are all dead!
Kwa ujumla ulichokisema, tunaita Stockholm Syndrome.
 
Waharabu waliwafanya kitu mbaya sana, kwanza kuuwa tamaduni zao za asili, kipindi wanachukuliwa u ko mikoani kwenda kuuzwa nchi mbali mbali waliobaki Zanzibar ya leo hawana tamaduni harisi, wanaona waharabu Kama role model wao maana hawajui background walikotoka. Ni sawa na kuchukuwa yai la kanga uweke kwenye kuku, kikitotolewa kifaranga hakiwezi jua kwamba asili yake ni wapi anaona kuku ndo kila kitu. Hivyo ni sawa na wazanzibar, wanaona waharabu Kama mungu mtu ndo kamweka hapa duniani.siyo Zanzibar tu hapa sehemu walikopita waharabu , kigoma, tabora, Singida, pwani,tanga, Lindi,mtwara hi yale yale tu mpaka leo wanamwabudu mwarabu Kama Mungu mtu, zile bakora walizopewa babu zao zinazunguka kwenye damu zao. Itachukuwa miaka mingi kujitambua.

Kwa waromani pia ni hivyo hivyo.
 
Huja ona wapemba wewe hadi nywele wanaeka dawa ili tu wawe waarabu na wale ndugu zenu wakojani na waTanga mashavu mpaka yanaomba poo kwa wekundu ili wawe waarab kutokujikubali tu Yan mnarithisha hadi watoto upumbavu.
Na wabara wanaoweka nywele dawa au kuweka mawigi ya kizungu unawasemaje? Ukimnyooshea mwenzako kidole ujue vinne vimekuelekea wewe.

Zanzibar nywele wala siyo issue, kama ni nywele laini hata wapemba wa asili kabisa ambao hawana udugu na waarabu wanazo. Nyinyi wabara ndiyo munapapatikia nywele muwe kama wazungu.
 
Acheni ujinga,muoman kaenda zenji 1800s,zenji Pana watu kabla ya hapo,hawakupelekwa Kama watumwa
ni kweli Zanzibar palikuwa na watu kabla, lakini idadi yao ilikuwa ndogo sana na inaonesha wazi mjinga ni wewe ambae hata hujui historia ya nchi yako. Tokea AD 700 waarabu walianza kufanya biashara na kufika pwani ya Zenji, miaka ya 1000's washirazi wakafika, kisha wareno miaka ya 1400's kabla ya waoman kumfukuza mreno miaka ya 1600's wakati huo wote biashara ya utumwa ilikuwa inafanyika kama kawa, hiyo 1800's(40) ni Seyyid said kuhamishia makao makuu yake Zenji, zitafute hata nyaraka za historia yenu ili muijue kabla ya kukumbatia pumba, Sultan Bargash alitoa takwimu miaka ya 1890's watumwa walikuwa karibia 300k, waarabu 15k na Aborigines (wapemba n.k) zaidi ya 30k na wahindi na wazungu wachache
 
AD 700 ni miaka 70 tangu kifo Cha mtume,walipokuja kufanya biashara walifanya na Nani hiyo biashara!?..wao waarabu walikua wangapi!?..mreno kaja 1400s,pwani ya kilwa,akashangaa mji mzuri,akauchora,Kisha akautia Moto mji,unadai wakati huo wote biashara ya utumwa ilikua ikifanyika ,walitoka wapi hao watumwa,zenji au magharibi(unyamwezi)!?...
 

NAona umetaja miko kibao kuonesha kuwa ni wajinga, Hebu tutajie nahio mikoa yenu ambayo ndio wenye akili
 

Pumba tupu, Na kwa kukusaidia tu Ujinga wako, Karume Hakumkomboa mtu, mana hakuwemo kabisa wala kushiriki kwenye Mapinduzi
 
Kama wanavyo fosiwa na Watanganyika kuwa ni wa Tanzania visiwan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Kiufup Achana nao bro tafuta hela maisha yaendelee ayo mambo yao waachie wenyewe
 
Wamekusikia ila kuna wale Wa-Znz waswahili kabisa na kuna Wa-Znz wenye asili za kiarab na hao wengi wao wana ndugu Oman, Yemen n.k
 
Zanzibar mbali sana nenda Tanga hpo waja leo warudi leo, kuna kabila linaitwa WADIGO ni weusi kama giza lkn wanapenda kujitambulisha kama ukoo wa waarabu! Niliwai kusimuliwa kua zamani walikua wanalipia kujiita ukoo wa akina Sharif!
Umenikumbusha kuna mdada mmoja mdigo alikuwa kila akipost picha zake lazima aandike caption "Mwarabu wa Tanga"
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…