Na wabara wanaoweka nywele dawa au kuweka mawigi ya kizungu unawasemaje? Ukimnyooshea mwenzako kidole ujue vinne vimekuelekea wewe.
Zanzibar nywele wala siyo issue, kama ni nywele laini hata wapemba wa asili kabisa ambao hawana udugu na waarabu wanazo. Nyinyi wabara ndiyo munapapatikia nywele muwe kama wazungu.
True wasomi wengi ni wajinga na wanaokariri vitabu vya dini wengi ni wafuga majini, wachawi, wanafiki, na wajinga pia.Nyerere alisoma na alikua mdini..Kama walivyo wakatoliki wenzie,acha kuifanya hiyo elimu ya test tube na nadharia za darwin kuwa ya maana kiasi Cha kumbadilisha mtu,wasomi wengi wajinga
Aliyekuambia mizimu ni uchawi ni nani? Hivi kuna kitabu cha kichawi zaidi ya Qur'an...tuseme ukweli tu. Kwenye Qur'an uchawi, mauwaji, laana, kila kitu ambacho Mungu anapinga kimo mule.sasa mkuu unataka watu waendelee kuabuu mizimu? Mpaka karne hii bado unatoka povu kwa kutetea mila za kichawi
Tuwaombee ndugu zetu Wazanzibari jamani, wanahitaji maombi ya kiakili maana ukombozi wa kuelimika hawataki wanataka kurudi tena utumwani na kuteswa.Umeeleza vizuri mkuu.
Sijui kama nimeruka sehemu, lakini Karume hakushiriki mapinduzi, hakuwa na ujasiri wowote! Muulize Kassim Hanga, Babu au John Okello! Alas! They are all dead!
Kwa ujumla ulichokisema, tunaita Stockholm Syndrome.
Na Wazanzibari wanawaabudu nani?Sasa hayo ya Vatican yanawahusu nini Wazanzibari? Yatawahusu nyinyi munaoabudu wazungu
Nafikiri umepata point yangu au nikupe kitabu cha Qur'an ukariri?Pumba tupu, Na kwa kukusaidia tu Ujinga wako, Karume Hakumkomboa mtu, mana hakuwemo kabisa wala kushiriki kwenye Mapinduzi
Labda wa dini zingine,siyo waislamTrue wasomi wengi ni wajinga na wanaokariri vitabu vya dini wengi ni wafuga majini, wachawi, wanafiki, na wajinga pia.
Tunamwabudu Mwenyezi Mungu mmoja muumba mbingu na ardhiNa Wazanzibari wanawaabudu nani?
You have missed the point my dear.[emoji23][emoji23][emoji23]ingekua wana nywele hizo wale waimbaji taarabu wasingekua wanavaa mawigi basi au wale wabara nao nyie shobo zimezid sana
Kwa znz hiyo Ni kawaida kuoana maana wao Ni cosmopolitan..Hivi kuna mwarabu anaweza kuoa Msomalia?
Sana mkuu, mie nimeishi Muscat kwa muda kidogo na nimetembezwa sana na ndugu zangu wenyeji wa huko.Sahihi kabisa,pia huko Oman kuna mji unaitwa Sur huko pia weusi wengi sana na ni waarabu kabisa.
Yeah ipo, ila mara moja moja, maana Wasomali ni wabaguzi hata wenyewe kwa wenyewe. Wanabaguana kimakabila na kiukoo, mie nina marafiki zangu Wasomali wawili wameoa na wameolea huko huko kwao Somali Land.Hivi kuna mwarabu anaweza kuoa Msomalia?
You have missed the point my dear.
Kutengeneza nywele au kuweka mawigi ni fashion tu kama zilivyo nyingine, nyinyi mumekomaa eti Wazenji wanataka kuonekana waarabu. Hiyo ni reasoning ambayo haikwenda shule kabisa.
Hivi kuna mwarabu anaweza kuoa Msomalia?
Tena hao ndiyo balaa kwa ufugaji majini na unafikiLabda wa dini zingine,siyo waislam
Na waarab je?Tunamwabudu Mwenyezi Mungu mmoja muumba mbingu na ardhi
Hayo majini alianza yesu kuyatimua,siku hizi wanatokana majini kanisani na kwenye mahubiri,huko ndiyo yapo mengi,huwezi jua kuyatoa Kama huyafugiTena hao ndiyo balaa kwa ufugaji majini na unafiki
Siyo waarabu ni waislamu, tafautisha hiyo.Na waarab je?