Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

Humu kuna watu wajinga sana. Eti ajali ya Rais wa Iran jitu linakuja kuwasifu Mossad! Kwahiyo hata ile ajali ya Mkuu wa Majeshi ya Kenya ni Mossad wanahusika? Mossad wangekuwa na akili na uwezo huo wanaosifiwa kwanini walishindwa kuzuia kifo cha Waziri Mkuu wa Israel Yitzhak Rabin? Mbona Mossad walishindwa kuzuia shambulio la HAMAS la Oktoba 7, 2023? Kuna mjinga anahusisha hii ajali na uchakavu wa helikopta utadhani uchunguzi umeshafanyika na hiyo ndiyo sababu iliyoelezwa.
 
uchunguzi haujafanyika, ila nikuulize tuu ni sahihi kwa raisi wa nchi tena nchi kubwa kama iran kupanda helicopter ya miaka ya 70 na ambayo haijafanyiwa upgrade yeyote?
tunajua wana vikwazo ndio, ila je wanashinndwa kupata helicopter za kisasa zinazohimili mikikimikiki ya angani kutoka russia ambao ni marafiki zao? mahelicopta ya kijeshi ya urusi hata yakikutana na miamba na mvua hayaanguki hovyo.
 
Siku mwisho wako hapa duniani ukifika hakuna chochote kinacho weza kuzuia usiondoke , masuala ya ulinzi sijui intelegensia ,cheo umaarufu, pesa hivyo vyote ni taka taka mbele ya kifo.
yale ndio matokeo mabaya aliyoyasema ben sasa sio hizo sababu za kipuuzi unazozisema hapa
 
Mbona umeandika upupu mwingi!?
Helikopta ya 1971.
Pia Iran hakuwekeza kwenye aircraft technology.
 
Kwani ile airforce 1 ina miaka mingapi?
Ajali ni ajali na 95% ya ajali ni uzembe.
Ndio maana ajali yoyote lazima kuwe na uchunguzi.
Ila kwa ajali ya chopper ya rais wa iran ni full uzembe.
Kwani "Air Force One" ni ndege Moja?
 
Reactions: 511
Poleni na msiba bwana na Mungu awarehemu. Just by the way, unateseka ukiwa wapi..❗❓
 
Inachekesha sana
 
Wakristo kumbe hamna akili
 
Ila wana mikwala,Israel ndio maana haiwaogopi kabisa...
 
Yap kujimwambafai tu, watakupinga lakini huo ndio ukweli, hata drones hazikuweza kufanya kitu kusaidia kutafuta, drones za Turkey kiboko, na watauza sana sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…