ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Huo uzembe huwa unatokea ili jambo lililo kusudiwa litimie.ni kweli ila kuna ajali zingine uzembe mbwa binadamu unachangia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo uzembe huwa unatokea ili jambo lililo kusudiwa litimie.ni kweli ila kuna ajali zingine uzembe mbwa binadamu unachangia
Wakijaribu tena, tunaondoka na ayatollahiSrael haihusiki ni kifo cha rais wa iran. Ikithibitika wanahusika, wallah watalipa.
Kama hao kidon ndio waliosababisha hali mbaya ya hewa basi hao jamaa ni hatari kweli kweli...Siyo Uzembe chezea Mossad wewee. Kuna branch yao inaitwa Kidon weee (ncha ya mkuki)
Hao kidon ndo pia uwafundisha ISIS, Alqaida na magaidi wengine kabla ya kujilipua waseme Allah akbar maamaeeKama hao kidon ndio waliosababisha hali mbaya ya hewa basi hao jamaa ni hatari kweli kweli...
uchunguzi haujafanyika, ila nikuulize tuu ni sahihi kwa raisi wa nchi tena nchi kubwa kama iran kupanda helicopter ya miaka ya 70 na ambayo haijafanyiwa upgrade yeyote?Humu kuna watu wajinga sana. Eti ajali ya Rais wa Iran jitu linakuja kuwasifu Mossad! Kwahiyo hata ile ajali ya Mkuu wa Majeshi ya Kenya ni Mossad wanahusika? Mossad wangekuwa na akili na uwezo huo wanaosifiwa kwanini walishindwa kuzuia kifo cha Waziri Mkuu wa Israel Yitzhak Rabin? Mbona Mossad walishindwa kuzuia shambulio la HAMAS la Oktoba 7, 2023? Kuna mjinga anahusisha hii ajali na uchakavu wa helikopta utadhani uchunguzi umeshafanyika na hiyo ndiyo sababu iliyoelezwa.
Hata mimi nimeshangaa, mikwara yote hiyo eti wanasema vikwazo vya US vilifanya washindwe kununua spea. Sasa unakuwa kiburi halafu kumbe hata coolant tu huwezi kutengeneza
yale ndio matokeo mabaya aliyoyasema ben sasa sio hizo sababu za kipuuzi unazozisema hapaSiku mwisho wako hapa duniani ukifika hakuna chochote kinacho weza kuzuia usiondoke , masuala ya ulinzi sijui intelegensia ,cheo umaarufu, pesa hivyo vyote ni taka taka mbele ya kifo.
Mbona umeandika upupu mwingi!?Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄
Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na myahudi?
Kweli Iran bado mtoto mdogo sana kwenye game.
Killed by what?.......has been KILLED sio ajali ile according to Aljazeera news
Kwani "Air Force One" ni ndege Moja?Kwani ile airforce 1 ina miaka mingapi?
Ajali ni ajali na 95% ya ajali ni uzembe.
Ndio maana ajali yoyote lazima kuwe na uchunguzi.
Ila kwa ajali ya chopper ya rais wa iran ni full uzembe.
..... Hamna shida, atasababisha kazi irudiwe.😂😂Asante. Mapambano yanaendelea moto utaendelea kuwaka tu hakuna kurudi nyuma. Huyo atakaeingia ndio kichaa zaidi
......... Killed in a helicopter crash.Killed by what?
Killed by helicopter crash/accident.
Unaonekana lugha inakupiga chenga.
Poleni na msiba bwana na Mungu awarehemu. Just by the way, unateseka ukiwa wapi..❗❓Humu kuna watu wajinga sana. Eti ajali ya Rais wa Iran jitu linakuja kuwasifu Mossad! Kwahiyo hata ile ajali ya Mkuu wa Majeshi ya Kenya ni Mossad wanahusika? Mossad wangekuwa na akili na uwezo huo wanaosifiwa kwanini walishindwa kuzuia kifo cha Waziri Mkuu wa Israel Yitzhak Rabin? Mbona Mossad walishindwa kuzuia shambulio la HAMAS la Oktoba 7, 2023? Kuna mjinga anahusisha hii ajali na uchakavu wa helikopta utadhani uchunguzi umeshafanyika na hiyo ndiyo sababu iliyoelezwa.
Inachekesha sanaNajiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄
Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na myahudi?
Kweli Iran bado mtoto mdogo sana kwenye game.
Wakristo kumbe hamna akiliNajiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄
Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na myahudi?
Kweli Iran bado mtoto mdogo sana kwenye game.
Hawa zamani zilisha waruka toka walipo mkumbatia Paulo na msalaba wake 😄Wakristo kumbe hamna akili
We mlokole usijidanganye ...... Hamna shida, atasababisha kazi irudiwe.😂😂
Yap kujimwambafai tu, watakupinga lakini huo ndio ukweli, hata drones hazikuweza kufanya kitu kusaidia kutafuta, drones za Turkey kiboko, na watauza sana sasa.Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤