towashi wa kushi
JF-Expert Member
- May 15, 2024
- 332
- 729
Ndio sasa muajemi wa Ifakara unasema hivyo?Siku mwisho wako hapa duniani ukifika hakuna chochote kinacho weza kuzuia usiondoke , masuala ya ulinzi sijui intelegensia ,cheo umaarufu, pesa hivyo vyote ni taka taka mbele ya kifo.
Sasa maayatolah na mbwembwe zao zote wanatumia ndege wa wakristo wasio na akili, tena za kizaman?😂i😎, Sasa matokeo yake wao ndo wanadondoka kama kuku, Sasa wao basi ndo watakua hawana akili x akili = akili squareWakristo kumbe hamna akili
Kumbe siku hizi kuna ndege za wakristo , waisilam na wapagani?Sasa maayatolah na mbwembwe zao zote wanatumia ndege wa wakristo wasio na akili, tena za kizaman?😂i😎, Sasa matokeo yake wao ndo wanadondoka kama kuku, Sasa wao basi ndo watakua hawana akili x akili = akili square
Wa-Iran walio wengi wanapendelea bidhaa na utamaduni wa magharibi zaidi.wanashinndwa kupata helicopter za kisasa zinazohimili mikikimikiki ya angani kutoka russia ambao ni marafiki zao? mahelicopta ya kijeshi ya urusi hata yakikutana na miamba na mvua hayaanguki hovyo.
Ni suala la muda tuPutin anakufa
Kwanini wapambane na "myahudi"? Kawachokoza nini wakati wayahudi ni watu wa amani sana.Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄
Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na myahudi?
Kweli Iran bado mtoto mdogo sana kwenye game.
wayahudi ni watu wa amani sana, hezbolah na iran ni watu wa shari sana. ila cha ajabu shari yenyewe hawaiweziKwanini wapambane na "myahudi"? Kawachokoza nini wakati wayahudi ni watu wa amani sana.
ndege wa ulaya - wakristoKumbe siku hizi kuna ndege za wakristo , waisilam na wapagani?
Ila bongo hii imejaa vilaza kweli.
Helicopter si sawa na gari. White house helicopter za rais zimekuwa designed 1960s, nyingine 1970s lakini leo bado zinambeba rais, je ni ngarangara?Hii helicopter imetengenezwa mwaka 1968 Naona comment nyingi wamekariri mwaka 78.
Hii ni ngarangara kwelikweli
Kwa hiyo huko ulaya wanaishi wakristo tu ?ndege wa ulaya - wakristo
ndege za iran - waislam
ndege wa china - wapagani
Kwann wasitengeneze za kwao?Airforce One ni ndege ya 1980s na ni maalum. Bado huwa inafanyiwa modernization na Boeing na contractors wengine.
Wakati hii helicopter iliyombeba Rais wa Iran ni product ya Marekani ambao wameiwekea vikwazo Iran. Haiwezi kuwa supplied na components wala kuwa serviced na manufacturers. Wala kupata genuine spare parts kutoka kwa original producer haiwezekani. Hivyo hii ngalangala ilikuwa prone to failure, dude la 1970s na services za kuungaunga.
Iran kwa bahati mbaya wanapata sana ajari za ndege sababu ya sanctions. Ikitokea bahati nzuri wakapunguziwa vikwazo najua watanunua ndege za Kimarekani na Ulaya kwa fujo.
Kwani hawawezi kununua za mchina au Mrusi Hadi waende Kwa mmmarekani?Airforce One ni ndege ya 1980s na ni maalum. Bado huwa inafanyiwa modernization na Boeing na contractors wengine.
Wakati hii helicopter iliyombeba Rais wa Iran ni product ya Marekani ambao wameiwekea vikwazo Iran. Haiwezi kuwa supplied na components wala kuwa serviced na manufacturers. Wala kupata genuine spare parts kutoka kwa original producer haiwezekani. Hivyo hii ngalangala ilikuwa prone to failure, dude la 1970s na services za kuungaunga.
Iran kwa bahati mbaya wanapata sana ajari za ndege sababu ya sanctions. Ikitokea bahati nzuri wakapunguziwa vikwazo najua watanunua ndege za Kimarekani na Ulaya kwa fujo.
Waislamu hawana cha maana walichotengeneza hapa duniani chenye thamani.Siku mwisho wako hapa duniani ukifika hakuna chochote kinacho weza kuzuia usiondoke , masuala ya ulinzi sijui intelegensia ,cheo umaarufu, pesa hivyo vyote ni taka taka mbele ya kifo.
Ndege ya mwaka 1978. Iran anapewa support na Urusi lkn ni mweupe km unga.Iran mdomo mwingi hakuna kitu...watu 9 wameenda na wote muhimu
Wakae makini na vinu vya nuklia...vitaondokaNdege ya mwaka 1978. Iran anapewa support na Urusi lkn ni mweupe km unga.
Ni aibu sana
Mchina hana VIP transport helicopter yake mwenyewe, anafanya licence production ya helicopter za Ulaya na Marekani. Haruhusiwi kuziuza kwa mwenye sanctions zao.Kwani hawawezi kununua za mchina au Mrusi Hadi waende Kwa mmmarekani?