Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

motto, be-tachbūlōt ta`aseh lekhā milchāmāh (Hebrew: בתחבולות תעשה לך מלחמה) is a quote from the Bible (Proverbs 24:6): "For by wise guidance you can wage your war". Then changed to: be-'éyn tachbūlōt yippol ām; ū-teshūāh be-rov yō'éts (Hebrew: באין תחבולות יפול עם, ותשועה ברוב יועץ, Proverbs 11:14). Meaning "Where there is no guidance, a nation falls, but in an abundance of counselors there is safety."
 
Reactions: 511
Nasimama na israel katika kipindi hiki kigumu iran ISRAEL WASAIDIENI ADUI ZENU IRANI HATA KWA CHOPA MBOVU MBOVU NA CHAKULA KAMA PALESTINA JAMANI YESU NI JIBU
Amehusikaja hapo
 
Hilo ndiyo Israel taifa teule la Mungu. Na bado😁😁😁😁
Mtaisha wote
nipe andiko linalo sema Israel ni taifa teule kwenye bibilia zenu.

Tukiwambia wacheni kutembea na mavi hamsiki, ndio mana mnaleta ujinga wa kusema Israel taifa teule. Nani aliye sema haya? Mungu, Mussa, Yesu hebu tupeni aliyesema hayo au gongo zimepanda vichwani.

Kwa tarifa yenu Ahmed Najat yuko njiani kuwa Rais wa Iran, huyu ni kiboko wa Israel.


View: https://youtu.be/CmAi12PCM8I?si=XfWx0wEZrvy-evHW
 
Hata Magu alinusurika kumuua Tundu Lissu matokeo yake yeye ndiye akatangulia.
Ukiambiwa ulete ushahidi unao, au kwa vile uko nyuma ya keyboard unasema lolote.
 
Raisi wa Iran na waziri wa mambo ya nje walitumia ndege iliyotengenezwa na Kafiri mkuu USA 1978. Ndiyo ujue umri wa ndege 2024-1978 = 46. Raisi ni mtu muhimu sana anatakiwa alindwe kwa 99% na atumie ndege ya kisasa. Kwa ujinga huu, Iran ataweza kushindana na Israel au Marekani?
Ukitaka kujua Israel ni taifa la Mungu, helikopter zilikuwa 3, ilikuaje ndege ya raisi pekee ipate ajali?
 
Hizo shari za Iran na Hizbollah ni zipi!?
Tofautisha wayahudi na wazayuni.
Israel ni wazayuni tupu,mijitu ilojaa ufedhuli na umwagaji damu.
Hawana tofauti na magaidi ya kiislam.
 
Pole sana kwa msiba mwanakwetu
 
Reactions: 511

1. Hakuna anayekataa hilo ila hata kwenye challenger lilipovunda halikuwa na
ubani.

2. Kwamba hakuna means of transport ambayo ni fool proof!



3. Safety < 100% kwa maana yake kamili:



4. Ndiyo maana wangwana wakasema "la kuvunda halina ubani au ajali Haina kinga.

5. Baada ya ajali mengine yote (-nge, -ngali nk) ni wishful thinking tu.

6. Zingatia pia cases za Boeing 737 Max. Model hiyo kwanini ikabidi kusimamishwa pending ukaguzi wa kina zaidi?

Au nasema uongo Ndugu yangu?
 
Kumbe siku hizi kuna ndege za wakristo , waisilam na wapagani?
Ila bongo hii imejaa vilaza kweli.
Ndege za makafiri.Ukweli ni kwamba mnawahitaji makafiri zaidi ya makafiri wanavyowahitaji nyie.
 
Mimi nataka dalili wapi Mungu kasema Israel ni taifa lake.

Hio ya kuhusu Iran kutumia ndege za America hebu we nionyeshe ndege anazo tengeneza Israel 😄

Si bora hata Iran vitu vingi anajitegemea Israel bila US na Europe angekufa na njaa zamani.

Afu aliye wadanganyeni Israel ni taifa la Mungu aliwaoneni wehu kweli, vipi uinbishwe nyimbo na mlevi we hujui unacho imba
 
Kiboko wa Israel kivipi? Nchi inayotumia chopper waliyotengeneza Wamarekani kumbeba Rais wao halafu bado wanaitukana Marekani? Nchi yoyote iliyojikita kuonesha mighty ya kijeshi at the expense of the citizens welfare km hao Iran ni hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…