ujue kitu unavyo kifikiria ndo kitakuja hivyo hivyo,,, yawezekana bby wako ni miongoni mwa hao wadada wanaotoa zawadi kutoka moyoni,,, na ushukuru hata huyo anaekununulia zawadi kwenye pesa ulompa maana mmegawana hajaifaidi pekeake kijanaKwani si kweli, mara nyingi inakua ni mtego, wadada wachache ndo zawadi zao zinatoka moyoni, wengi wanapigia hesabu ya hela uliowahi kumpa, kama tangu umjue ushawahi mpa elf 60, atatafta zawadi ya tsh elf 25 au elf 10..bajeti ya hela ya zawadi atakayokupa inatoka kwenye hela ile ile uliowahi kumhonga win-one
Unajua nlichogundua kwa wanaume wengi wa sahivi wanataka upendo na effort wanayotoa kwa wanawake, na wao wapate toka kwa wanawake upendo na effort inayokaribiana na hio hio wanayotoa.You are wise….
I will teach my son this, ziada.
Sasa iyo sio zawadi, hiyo ni biashara, naamini zawadi inatakiwa itoke toka kwenye moyo wenye nia safi..from a part of thoughtfulness kwamba aah I like this shoe, hope my partner ataipenda ngoja nimpelekee, sio uwaze huyu ashawahi kunipa elf 30 kwenye hela yake ngoja nimpelekee kitu cha kaki, iyo si zawadi ni biashara na manipulation win-onena ushukuru hata huyo anaekununulia zawadi kwenye pesa ulompa maana mmegawana hajaifaidi pekeake kijana
Na ukimcheat anabaki kushangaa, sijui wanashangaaga nini😃Na ujipambanie ufike umependeza uko sexy halafu ajisifie demu wangu kashasoma torati zangu sio maskini haombi Hela hovyo.
Mkome!🤣🤣🤣Safi sana wadogo zetu mnatuwakilisha vizuri zamani dada zenu walikua wanatununulia jezi 15000 sisi tunawanunulia simu 300,000.
sasa baliq biashara ipo wapi hapo? hivi mimi nmekuletea saa bila wew kuomba wala kutegemea kama nitakuletea ndo mnaita biashara eehSasa iyo sio zawadi, hiyo ni biashara, naamini zawadi inatakiwa itoke toka kwenye moyo wenye nia safi..from a part of thoughtfulness kwamba aah I like this shoe, hope my partner ataipenda ngoja nimpelekee, sio uwaze huyu ashawahi kunipa elf 30 kwenye hela yake ngoja nimpelekee kitu cha kaki, iyo si zawadi ni biashara na manipulation win-one
Ndio je wewe?We hiyo zamani ulikuwepo?
Watakwama! Unipe ef 10 nikupe ef 7 utakuwa umenipa eft 3 ambayo ni matusi kwangu!Unajua nlichogundua kwa wanaume wengi wa sahivi wanataka upendo na effort wanayotoa kwa wanawake, na wao wapate toka kwa wanawake upendo na effort inayokaribiana na hio hio wanayotoa.
Zamani wanaume ilikua anafukuzia mdada mwaka na kuhonga juu, haambulii kitu na anaona kawaida, siku hizi wanaume wanataka akikutext mara mbili kwa siku na wewe umetext mara 2, akikutafta sana na wewe umtafte sana akikupa elf 10 wewe umpe elf 7..naona ndo shida inaanza hapo binti kiziwi leo dada Seran Fake P
Mimi mambo ya zamani siyajui. I am living in the present. Maisha ni sasa, jana na kesho is illusion tu.Ndio je wewe?
Sawa sawa! Tuendelee kuishi mkuu🤝🏽Mimi mambo ya zamani siyajui. I am living in the present. Maisha ni sasa, jana na kesho is illusion tu.
Afu we umebadilika sana, umepata mpenzi anakupenda nini siku hizi 😅Unajua nlichogundua kwa wanaume wengi wa sahivi wanataka upendo na effort wanayotoa kwa wanawake, na wao wapate toka kwa wanawake upendo na effort inayokaribiana na hio hio wanayotoa.
Zamani wanaume ilikua anafukuzia mdada mwaka na kuhonga juu, haambulii kitu na anaona kawaida, siku hizi wanaume wanataka akikutext mara mbili kwa siku na wewe umetext mara 2, akikutafta sana na wewe umtafte sana akikupa elf 10 wewe umpe elf 7..naona ndo shida inaanza hapo binti kiziwi leo dada Seran Fake P
Kabisa aisee, hii dunia usipokula utaliwa hakuna namnaSawa sawa! Tuendelee kuishi mkuu🤝🏽
Mtakoma nyie sisi zama zetu zimepita, nyakati zetu kugongeana haikua kama saivi na hata ukigongewa inakua siri ya ndani, kwa kiasi flan mapenzi yalikua na ladha yake wanawake wapo real, unakaziwa mwaka mzima siku ukipewa unakuta mali piruuuu unaizindua unamfundisha kuanzia denda mpaka kuikalia.Mkome!🤣🤣🤣
Ni mwendo wa kuviziana tuKabisa aisee, hii dunia usipokula utaliwa hakuna namna
Khaaa! Nimeishiwa maneno mkuu🫢Mtakoma nyie sisi zama zetu zimepita, nyakati zetu kugongeana haikua kama saivi na hata ukigongewa inakua siri ya ndani, kwa kiasi flan mapenzi yalikua na ladha yake wanawake wapo real, unakaziwa mwaka mzima siku ukipewa unakuta mali piruuuu unaizindua unamfundisha kuanzia denda mpaka kuikalia.
Hahaha haya bana binti kiziwiAfu we umebadilika sana, umepata mpenzi anakupenda nini siku hizi 😅
Anyways iko hivi, reciprocation ni muhimu kwenye kila kitu… ila sio hii vijana wanayoidai.
Lakini pia kuna wanawake wenzetu wanafanya vingi sana kwa wanaume kiasi kwamba wanaume wengine wanaona walionao hawafanyi lolote, Bila kujua kuna kitu kinaitwa riziki/ deserving… Malalamiko mengi yanatokaga from a place of comparison bila kujua wewe individually una deserve nini. I hope this helps
Nachoona mimi ni imbalance katika jamii likija suala la mahusiano. Nani hajulikani afanye nini, nani hajulikani afanye nini.
Ndo hivo kila zama na kitabu chake.Khaaa! Nimeishiwa maneno mkuu🫢
Kwahiyo we ndio unamfundisha mpaka kuikalia? Sikuhizi ukiend ahujui kitu unaonekana mzigo aisee!😬
Siku hizi ukigongewa unakuta sledi zako mtu anajisifia zake humu🥴
Kwakweli..Ndo hivo kila zama na kitabu chake.