Kwenu Wanaume, Mwanamke akikuletea Zawadi jua ni mtego, atachukua kwako mara 2 yake

Hata Eden zawadi ya tunda kutoka kwa mwanamke ilileta madhara, ila sisi wanaume ni provider tuache kulalamika hata hainogi eti mwanamke ananihonga 😁🤌
 
Wanataka tushindane sasa watoto wa 2000 wamegoma!!!!!
 
Wanawake ni wajanja sana, wanajua kucheza na ufahamu wa wanaume waweze kula fedha zao.
Hufanya hivyo kwa wanaume maboya tu sio wale wanaume waliowafia real for real, hii nimeshuhudia kuna manzi wewe anaweza akawa anakukubari kinyama hakufanyii mizinguo ila kuna mabaazazi na madunya yanayomuwinda anayafanyia unyambilisi wa hatari hakuna
 
What went wrong.. manhood, masculine, boldness imekua Compromised.. Ndo nasema wale wanaume waliokua wanaenda vitani walibaki huko huko wote? tumebakishiwa nyie? Wanaume sikuhizi wamekua depressed na vitu vya kijinga sana 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…