LATRA waruhusu Mabasi kuanza safari saa 9 Usiku

LATRA waruhusu Mabasi kuanza safari saa 9 Usiku

Usalama vipi? Mnachekelea tu kuruhusiwa kwa safar za usiku lkn hamuwazi side effects za hizo safar? Vip ujambaz, ubovu wa barabara na ujinga wa wale madereva wanaobeti kuendesha speed kubwa?

Hili walitolee ufafanuzi
Huwezi kushindana na maendeleo.Eti unaogopa kufanya kitu,kwasababu ya vikwazo vilivyondani ya uwezo wako?!!kuhusu usalama kwa sasa Tz nzima,maeneo kidogo korofi ni kagera na kigoma tu.Najua hii sheria bado kwa magari yatokayo dar kwenda bukoba haitawahusu,kwani bado kuna kikwazo huko mbele,ila kigoma wao itawasaidia.Kuhusu madereva hilo ni jukumu la LATRA,na POLICE,kuwadhibiti.Tena inatakiwa iwe saa 24 kabisa,mbona zambia wameweza?ni mikakati tu
 
Sisi wa kasulu hakuna Tena kulala njiani Kaliua. Kasulu na Kigoma tunafika saa sita usiku
Juzi nilikuwa nakuja kigoma tulifika kaliua saa tano kasoro tukalala pale had saa 12 asubuhi nikafika kigoma saa sita mchana nikashangaa Sana kulikuwa na sababu gani ya muhimu kulala kaliua...
 
Jioni labda
Hahaha mpwa hujui usemalo, Wacha nikuonjeshe facts. Hii hapa chini nimechukua kutoka group Fulani sitalitaja.

MWANZA_DAR
📍KONGOWE

01:🌳EBF🍊🍊_ 22:49

02:🌳KUFFI🌎🌎_22:50

03:UNSTOPPABLE🍊🍊_22:50

04:KATARAMA🇬🇶🇬🇶_22:52


#VIDEO LOADING#🔥🔥

Yaani saa nne wanaingia kongowe
 
Back
Top Bottom