Issue kubwa, ni kila barabara inapokamilika vijiji vingi vinahamia kwenye Kingo za barabara na hivyo kulazimisha hizi speed limit za 50kph kuwa nyingi! Safari inachosha sana Kwa kila dakika kupunguza speed to 50, fikiria barabara inaboreshwa kama Dar Moro mwanzoni masaa mawili Sasa masaa manne shida ni nini!? Tujiulize tuanzie hapo!! Hii kuongeza muda WA kuanza safari Haina maana kabisa!! Hawa latra na jeshi la polisi, na Tanroads wajiongeze waache Mazoea, wafanye researches, mshahara Mkubwa ufanisi MashakaSpeed SIO chanzo pekee cha ajali nyingi hapa Tanzania, tatizo kubwa barabara zetu bado sana,Dar to Arusha ni kama 650km,huu ni mwendo wa saa nane kwa bus na mapumziko juu, nashauri tutengeneze hizi barabara kwa kiwango kinachokubaliwa na tuziwekee road tolls ili watumiaji wachangie gharama za uboreshaji wa barabara zetu, mabus yaruhusiwe 24hrs yatembee barabarani au majambazi wametuzidi kete?