LATRA waruhusu Mabasi kuanza safari saa 9 Usiku

LATRA waruhusu Mabasi kuanza safari saa 9 Usiku

Hahaha mpwa hujui usemalo, Wacha nikuonjeshe facts. Hii hapa chini nimechukua kutoka group Fulani sitalitaja.

MWANZA_DAR
๐Ÿ“KONGOWE

01:๐ŸŒณEBF๐ŸŠ๐ŸŠ_ 22:49

02:๐ŸŒณKUFFI๐ŸŒŽ๐ŸŒŽ_22:50

03:UNSTOPPABLE๐ŸŠ๐ŸŠ_22:50

04:KATARAMA๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ถ_22:52


#VIDEO LOADING#๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Yaani saa nne wanaingia kongowe
๐Ÿ“: USAGARA


๐Ÿ„1:๐ŸŠ๐ŸŠ EBF 22:46๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ

๐Ÿ„2:๐ŸŒ๐ŸŒ EBS 22:48

๐Ÿ„3:๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ถ EBR 22:55

๐Ÿ„4:



$$####PIZZO GRAPHER๐Ÿ˜Ž###$$
 
๐Ÿ“: USAGARA


๐Ÿ„1:๐ŸŠ๐ŸŠ EBF 22:46๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ

๐Ÿ„2:๐ŸŒ๐ŸŒ EBS 22:48

๐Ÿ„3:๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ถ EBR 22:55

๐Ÿ„4:



$$####PIZZO GRAPHER๐Ÿ˜Ž###$$
KUTOKA DAR UELEKEO TABORA MPANDA KIGOMA
::TABORA BUS STAND
::04/05/2023
:๐Ÿ˜กALL_TANZANIA_BUSES

1.AN CLASSIC DZT 18:49 TBR
2.AL SAEDY DWZ. 19:02 TBR
3.HAPPY NATION DGB 19:24 MPND
4.ABOOD DKY 19:36 TBR
5.NBS CLASSIC EBR 20:19 TBR
6.KISBO SAFARI DCJ 20:21 TBR
7.MAJINJAH DEY 20:21 KGM
8.COLOR STAR DCA 21:07 TBR

๐Ÿ™ ๐Ÿ™ ASANTE KWA KUCHAGUA @ALL_TANZANIA_BUSES #2023

FOLLOW
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ @ALL_TANZANIA_BUSES
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ @ALL_TANZANIA_BUSES
#ALLTANZANIABUSES
 
Ninayo furaha kuwajulisha kuwa zile kelele zetu zimefanikiwa kwa asilimia kubwa na hivyo mabasi yataanza safari saa tisa usiku kwa kuomba kibali.

Ni hatua kubwa na nzuri maybe very soon tutasafiri 24hrs, tuachane Sasa na habari za Speed meter a.k.a Ving'amuzi.


Pia andiko langu lingine hili


Taarifa hii hapa

View attachment 2610384
Wanayaruhusu lakini hawana uwezo wa kutadhibiti kwenye hajari sababu dereva wa basi hakubali kuendesha basi nyumba ya gali yoyote
 
Hahaha mpwa hujui usemalo, Wacha nikuonjeshe facts. Hii hapa chini nimechukua kutoka group Fulani sitalitaja.

MWANZA_DAR
๐Ÿ“KONGOWE

01:๐ŸŒณEBF๐ŸŠ๐ŸŠ_ 22:49

02:๐ŸŒณKUFFI๐ŸŒŽ๐ŸŒŽ_22:50

03:UNSTOPPABLE๐ŸŠ๐ŸŠ_22:50

04:KATARAMA๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ถ_22:52


#VIDEO LOADING#๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Yaani saa nne wanaingia kongowe
Mwaka 2018 Nimeingia Ubungo saa 3:30 usiku toka Mwanza na Kisbo
 
Hiyo 12 tu nusura niachwe na hayo mabasi ya mkoani,Sasa saa Tisa itakuwaje?
 
A
KUTOKA DAR UELEKEO TABORA MPANDA KIGOMA
::TABORA BUS STAND
::04/05/2023
:๐Ÿ˜กALL_TANZANIA_BUSES

1.AN CLASSIC DZT 18:49 TBR
2.AL SAEDY DWZ. 19:02 TBR
3.HAPPY NATION DGB 19:24 MPND
4.ABOOD DKY 19:36 TBR
5.NBS CLASSIC EBR 20:19 TBR
6.KISBO SAFARI DCJ 20:21 TBR
7.MAJINJAH DEY 20:21 KGM
8.COLOR STAR DCA 21:07 TBR

๐Ÿ™ ๐Ÿ™ ASANTE KWA KUCHAGUA @ALL_TANZANIA_BUSES #2023

FOLLOW
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ @ALL_TANZANIA_BUSES
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ @ALL_TANZANIA_BUSES
#ALLTANZANIABUSES
AN ametisha Sana.
 
Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu.

Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu.

Mamlaka ya usafiri ya udhibiti wa usafiri ardhini nchini imewaagiza wamiliki wa mabasi wanaopenda kuanza safari muda huo wa saa tisa usiku wafike katika Ofisi zao kuomba upya leseni.

Salum Pazzy anayekaimu kitengo cha uhusiano na mawasiliano cha LATRA amesema, ni lazima madereva wasajiliwe ili kuwa na taarifa zao za msingi.

Kwa maoni yangu, angalau kidogo mnasogea japo bado sana maana tunapaswa kusafiri 24hrs katika dunia inayopungua ukubwa kila siku, ikiwa watu hawalali kwa sasa wakikimbia huko na huko.
Mimi Binafsi sikubaliani nao kwa sababu sijaona kamawamefanya sampling kuona itakavyokuwa na ndio sababu huishia kufungia yasitembee usiku baada ya miezi kadhaa

Mfano: wangeanza route ambazo ni salama Zaidi kama sampling kwa muda hata wa miezi 3hivi

Arusha/Moshi/Dar /Moro

Arusha/Dodoma

Arusha/ Mwanza

Dar/Moro/Dodoma/

Dar/Tabora

Dar/ Mwanza

Tanga?

Zikifanya vizuri zingehamishiwa 24hrs na hizo route zingine zianze saa tisa usiku.

Inamaana wangeweza kuwa na group mbili zenye muda tofauti kulingana na changamoto zake. Kuna milima huko Mbeya sio salama sana kuendesha usiku, Kigoma huko na mtwara kuna giza giza kidogo nk

Tofauti na hapo wanaweza kuishia kusimamisha kuwa kuna matatizo kumbe ni kwa sababu hawajaweka utaratibu vizuri
 
Nadhani wamekubaliana namna ya uendeshaji. Sidhani Kama wameamua tu bila mchakato maalum. Ajali zikizidi watawafungia kuendesha saa moja.
 
Kwahiyo unaweza kutoka Dar saa 9 ukafika Dodoma saa 3 au saa 4 asubuhi,halafu jioni ukaondoka saa 11 kurudi Dar...
 
Mfano: wangeanza route ambazo ni salama Zaidi kama sampling kwa muda hata wa miezi 6hivi

Arusha/Moshi/Dar /Moro
Ndiyo maana tunasema humu wengine siyo wasafiri that's why mnapinga.

Si kwamba LATRA wamekurupuka, mfano wako tayari umefanyiwa kazi na hata mimi nimewahi na huwa nasafiri usiku kwa bus.

Dar to Moshi zipo, Dar to Mbeya zipo labda ukitaka watangaze kwenye kabisa.
 
Matokeo ya kulazimisha mambo huwa mabaya. Ajali zitakuwa nyingi sana na matukio ya magari kutekwa na majambazi yataongezeka.

Tuwe wavumilivu, SGR itatupa usalama zaidi kusafiri usiku.
Kinachotakiwa kwa madereva wetu ni kuwa tu makini. Saa tisa alfajiri, siyo muda wa kutisha sana. Hayo matukio ya ujambazi yanadhibitika.
 
Mkuu chombo hicho kikiingia zambia tu,ni kutambaa usiku na kikifika Harare kinakutana na wababe wa Harare to jhb, nani kutusua beitbridge mapema? Wakina intercape waanze kujipanga
Nashangaa kuna watanzania hadi leo wanadhani madereva wa Tanzania wapo dunia nyingine, kwamba wao hawawezi kuendesha magari usiku.
 
Masaa 24 kwa madereva wepi? Ni hawa hawaa wa mabasi wanaotanua hovyo hovyo na kutowajali watumiaji wengine wa barabara? Trust me ajali zitakazofuatia hapo โ€ฆ.zitakuwa za kutisha sanaa!
Kwanza mkipata ajalali maporini muda huo msaada wa haraka mnaupataje? Kuna vijiji vingine wana asili ya uhalifu, mkianguka tu wanakuja kuwapora, muda huo utampata nani, haya mambo waache kuyaangalia kisiasa tu, waangalie na kiusalama zaidi wa wasafiri.
 
Back
Top Bottom