wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 775
Kila sehemu anatafuta pesa tuHuyu mama hi nchi imeshamshinda ili apate heshima inatakiwa asigombee tena
Picha unazoziona hapona bus kampuni ya HAPPY NATION (TAIFA LENYE FURAHA)Kila sehemu anatafuta pesa tu
1.nauli juu
2.anatoza mpaka mabango hata biashara changa ili hali ukiweka bango ana wewe
3.Mikopo toka nje ndio yeye
Hivi hagundui anapigwa kila sehemu
Salary inaongezwa 12,000Dah!! Gharama za maisha zinazidi tu kupanda juu, halafu hali ya kipato ikiwa iko pale pale. Kufa hatutakufa , ila chamoto tutakiona.
Mtaani nako mzunguko wa biashara hauko vizuri sana. Aisee kazi ipo.Salary inaongezwa 12,000
Mama yenu hafai kwa urais, amevuruga uchumi wa nchi na kuongeza ugumu wa maisha kwa raia wasio wezidaah kuelekea uchaguzi Serikali za mitaa ndio haya mambo yanaibuka! Kama vile Muvi za kumkwamisha Mama naona
Hivi kumbe Singida Dodoma ni mbali hivyo. Nilidhani ni km 240; au Kuna Singida nyingine ndugu mwandushiKufuatia latra kutangaza bei mpya za nauli za vyombo vya usafirishaji nchini, baadhi ya wananchi wamehoji iweje nauli kutoka singida to dodoma Kwa basi la daraja la kati iwe shilingi 86,000? Huku umbali wake ni takribani kilometer 1,208 hivi.
Ukiendelea kuichambua takwimu hizo Kuna makosa mengi ambayo inaonesha lATRA hawakuipitia takwimu hizo baada ya kuandaliwa labda na wanafunzi wa Field works.
Aisee kama wahuni watatimiza ndoto zao za kumbakisha madarakani mpaka hiyo 2030, wananchi walio wengi watakuwa wamechakaa kwa umasikini.Huyu mama hi nchi imeshamshinda ili apate heshima inatakiwa asigombee tena
watakupata kwenye kununua unga hawakimbiliki mkuuNi muda wa kununua kibaiskeli changu kizuri. Kwenda kibaruania situmii hata senti, kwenda mikoani kwa wazee siendi nawatumia tu pesa za matumizi. Hapa Latra hamnipati.
Kuna wakati dish halikamati network mkuu? Mbona unauliza maswali ya namna hii?Kupanda kwa nauli ya daladala kunahusika vp na vitu?