Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Sio mchezo. Kweli mjini shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna usafiri mbadala kama fisi na ungo ni wakati wa kurudi kwenye asili yetu😁Safari za kuja Dar es salaam , inabidi tupunguze sasa, tubaki huku huku mti wa mbuzi
Hata kabla yake haikupanda hivyo! Kimsingi nauli kwa sasa hazikupaswa kupanda baada ya kupandisha siku zilizopita!Magu hakujua chochote kuhusu biashara,mafuta yapande,na mafuta ndiyo yanaendesha gari,halafu nauli isipande!?..Ila je,mafuta yamepanda Tena!?
Sema kuna wajuba wana miliki IRON DOME, kukutungua hawaoni kazi 😀😀Kuna usafiri mbadala kama fisi na ungo ni wakati wa kurudi kwenye asili yetu😁
Subir boda boda wakupitie na baskel yako hiyoNi muda wa kununua kibaiskeli changu kizuri. Kwenda kibaruania situmii hata senti, kwenda mikoani kwa wazee siendi nawatumia tu pesa za matumizi. Hapa Latra hamnipati.
Mafuta yamepanda sana. Hawa majamaa sio wa kulaumiwa, wapo sahihi.Mama kashapandisha nauli mara mbili ndani ya miaka 2 ya utawala wake, chuma kilikaa na nauli miaka yote aliyokuwa madarakani.. Sekta ya usafirishaji huwa inaleta mfumuko mkubwa sana wa bei kwenye uchumi.
Kaka,Msata ipo palepaleBila shaka na ya Bagamoyo imeongezwa imekuwa 2000, basi utashangaa na Nauli ya Msata inapanda tena wakati hiyo ya 5000 tu sijui iliwekwaje wekwaje, daah sema mimi vichenchi chenchi vya 50, 100, 200 huwa sivipendi kukaa navyo basi tu
mshahara bado laki 7 ile ile kwa mweziSerikali naona hawataki kutuona tunarud mikoani kwetu kusalimia wazee. Sasa kwenda bk nauli ya kwenda tu almost laki 1 kutoka dsm hapo bado kula njiani na nauli za kunifikisha stendi... Maisha yanazidi kuwa magumu sasa.
Kipato hakiongezeki, ila gharama kila nyanja zinapanda. Ati uchumi unakua! Na kuna mbobezi (kwenye makaratasi)wa masuala ya uchumi!Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini.
Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600. Kwa safari za kilometa 11 hadi 15 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 550 sasa itakuwa shilingi 700.
Kwa kilometa 15 hadi 20 ambapo nauli ilikuwa shilingi 600 sasa itakuwa 800 huku kwa safari za kilometa 21 hadi 25 nauli imetoka 700 hadi shilingi 900. Safari ya kilometa 26 hadi 30 nauli ni shilingi 1100, safari ya kilometa 31 hadi 35 ni shilingi 1300 na kilometa 36 hadi 40 nauli ni 1400.
Aidha nauli za wanafunzi zitaendelea kusalia 200 kwa safari za masafa mafupi.
Nauli za mabasi zimeorodheshwa kwenye jedwali hapa chini.
View attachment 2826735View attachment 2826734View attachment 2826733View attachment 2826732