econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Huyu mama hi nchi imeshamshinda ili apate heshima inatakiwa asigombee tena
Ushauri mzuri. Lakini utashangaa anagombea Tena bila kuwa na sababu za msingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mama hi nchi imeshamshinda ili apate heshima inatakiwa asigombee tena
Acha ujinga,urais ni taasisidaah kuelekea uchaguzi Serikali za mitaa ndio haya mambo yanaibuka! Kama vile Muvi za kumkwamisha Mama naona
Dodoma to dar km 80 ,nauli sh 5000 eti ni sawa kabisa na Arusha to Moshi.Vichekesho hivi
Dom kwenda Dar nauli sh ngapi?
Na umbali wa Singida Dom ni ngapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuendeleze amani yetu tuliyonayo ni tunu ya taifaTzs inazidi kupukutika inapoteza mvuto kabisa aisee......nauli ya daladala kam cha chini mia sita ....... wacha tuendelee kuchekwa na wakenya hahahahahaha
Yaani hajawahi kutokea Ndani ya miaka miwili nauli KUPANDA mara mbili
Samia is the worst president ever in our country's history
Dodoma to dar km80[emoji23][emoji23][emoji23]Dodoma to dar km 80 ,nauli sh 5000 eti ni sawa kabisa na Arusha to Moshi.
Singida to Dom km 1,268 ,nauli sh 86,000
Mama yenu hafai kwa urais, amevuruga uchumi wa nchi na kuongeza ugumu wa maisha kwa raia wasio wezi
mimi ni cogni na siyo genta wako ok?Genta una hoja usikilizwe
Hakika bado tuna safari ndefu. Aliyekaa na kutoa taarifa hii mpaka muda huu hapaswi kuwepo ofisini Hivi kutoka Dodoma hadi Dar ni umbali wa Kilometa 80? Dodoma hadi Morogoro kilometa 1,140!!? Pole sana watanzania na mimi nikiwemo. Chart tu ya Dodoma kwenda maeneo mengine imejaa madudu ya namna hii, vipi kuhusu maeneo mengine na yale ambayo hayako wazi kwa wananchi?