Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

Jadili mada sio matusi ma**ko wewe,
Nyie wapuuzi sijui hata nani aliwaonyesha keypad burton send inaandikwaje.
Mlitakiwa muwe kilombero huko mnalima miwa
Kulima ni kazi bwasheee.Jiulize kwa nini wewe sijakutuna?Ni kwa sababu umeongea vitu vya msingi tena vinavyojenga siyo vinavyodhalilisha utu wa mtu au uhai wa chama chochote.
 
Suala la kulima sio suluhu ya kumaliza ukosefu wa ajira kwa wahitimu ni danadana tu hapa zinapigwa haya sio malengo angalia course outcome kwenye hizo prospectus za vyuo mbalimbali utaona sio kila course outcome yake kuandaa Wakulima tu hata sua university sio coz zote pale zinaandaa waitimu kuwa wakulima hapa serikali iache janja janja tufate coz outcome za wahitimu wetu kazi ya serikali kuakikisha ajira zipo kama awawezi wakae pembeni mbona ma v8 na viinua mgongo vya mamilion ya pesa yanalipwa kwa wabunge angali akuna kazi ya maana waifanyao na kigezo cha upatikanaji wao ni darasa la masela ukihitimu unakua na kigezo cha kugombea ubunge. Inauma kusomesha mtoto aje mtaani ajishughulishe na uokotaji wa makopo .kuna raha kufanya kitu ulichokipenda na ukakisomea serikali itoe ajira kwa wahitimu janja janja ya viproject vya zima moto atutaki.
 
Amesema ukweli nchi zilizoendelea huwezi kuta bodaboda,
 
Mengi ya haya mataifa yote uliyoyatolea mfano ni mataifa ya hovyo.
Indonesia,Kenya,Uganda, Rwanda na kwingineko zinakofanya kazi bodaboda kwa majina tofauti tofauti nako ni laana?

Haya bwana Nabii wa Chadema na Machame!
 
Sahihi kabisa
Kwani uonngo? Nambie ni mtoto gani wa kiongozi anafanya kazi ya bodaboda? Wapeni vijana kazi za kufanya, si ujinga huu wa boda boda. Sidhani kama Lema kaishia hapo ametoa maelezo kwanini anasema ni laana! Bodaboda ni LAANA, mtoto wangu hapana!
 
Huwa natamani sana kupata nafasi ya kumsaidia kijana mwenzangu. Ambaye ni wazi uelewa wake ni mdogo sana. Na ukosefu wa Elimu inaweza kuwa sababu.

Ukikaa ukamsikiliza Tundu Lissu unaona ana madini. Au Mnyika unamwona ana madini. But Lema....😂 Anaongea kwa hisia tu hana fact. Anabwabwaja tu kinachomjia.

Mbaya zaidi yeye anaamini ana akili. Yaani hapo ndo unachoka. Ni kama tu Joseph Mbillinyi naye uwezo wake mdogo katika kuongea. Huwa hana madini kichwani.

Mjaribu kumsaidia kuwa wakati mwingine ukinyamaza unaweza onekana una akili. If you talk too much you expose your weakness easily.
 
Sie tusio na vyombo vya usafiri itakuaje ikitokea Bodaboda hawatafanya shughuli yao.
 
Lema yupo sahihi na kaongea ukweli acheni kukaza mafuvu yenu nyie wafuasi wa dhalimu
 
hivi wewe kwa akili yako unaona kuendesha pikipiki ni ajira sahihi ukizingatia risks za ajali na afya ya baadaye? Kwa nini upuuzi huu wa ajira ya bodaboda hauko katika nchi zilizoendelea? risky za kuendesha pikipiki kwa miaka muda mrefu unazijua?
 
Nadhani ni bora mngeliacha lipite hivi hivi..

Boda boda sio kaz, sio career is risky and waste of youth.
 
Ni miaka 60 sasa tangu tupate uhuru na nchi iko chini ya CCM, mnataka mingine mingapi kufanikisha hiyo Tanzania ya viwanda??
Tanzania ya viwanda inajengwa Kwa miaka 5 au 10?

 
Kwaiyo mtu anayeongea ukweli unasema hana madini nyie wafuasi wa dhalimu hamna kitu kwa kichwa
 
Hizo Nchi unazotaja Zina level sawa za Maendelea na Tanzania? Lema na Chadema wanaweza ondoa bodaboda barabarani wakiwa Viongozi?

Tanzania ni Canada? Kama China iliyoendelea watu wake wanakujakushona viatu Kariakooo na kuchezesha kamari unaweza shangaa bodaboda Tanzania?
 
Ni miaka 60 sasa tangu tupate uhuru na nchi iko chini ya CCM, mnataka mingine mingapi kufanikisha hiyo Tanzania ya viwanda??
Hizo Nchi ulizozitaja Zina miaka 60.kama Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…