Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
ifike wakati wachague maneno ya kuongea wao ndio image ya chama kinachotaka kushika madara,wasiropoke hovyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio umejibu nini Sasa hapo? Ujilinganishe na wao unaweza apply mechanisms zao huku Tanzania? Tuna mazingira linganishi?Usijilinganishe na walioshindwa
Sasa mtu kama huyo ana akili timamu? Anaongea uongo Kwa maslahi ya nani? Ehee yeye akatoa suluhisho lipi?Lema kasema asilimia 70 ya waliopo kwenye mkutano hawajala mchana? 😀😀, halafu hao hao ndo walienda KIA kwa gharama zao kumpokea.
Yaani bodaboda aweze kuweka mafuta kwenda KIA na kurudi akose 3000 ya kula..
Kuwa mshabiki wa Chadema isikufanye ujitoe akili hao hao bodaboda anaowalaani wapo ambao wanalisha familia zao kupitia hiyo hiyo bodabodaHivi kuna maana gani kwa mhitimu wa chuo kikuu kurudi mtaani na kuwa bodaboda!
mpwayungu village alishawahi kushusha uzi hapa kuwa bora kuwa bodaboda kuliko kuwa mwalimumpwayungu village anasemaje?
Hili ni tatizo la kuamini Mungu aliumba wanaccm wenye akili na wanachadema wasio na akili! Watanzania hapo ndipo tunapoonekana watu wa hovyo kwa ubaguzi wa kijingajinga.Huwa natamani sana kupata nafasi ya kumsaidia kijana mwenzangu. Ambaye ni wazi uelewa wake ni mdogo sana. Na ukosefu wa Elimu inaweza kuwa sababu.
Ukikaa ukamsikiliza Tundu Lissu unaona ana madini. Au Mnyika unamwona ana madini. But Lema....😂 Anaongea kwa hisia tu hana fact. Anabwabwaja tu kinachomjia.
Mbaya zaidi yeye anaamini ana akili. Yaani hapo ndo unachoka. Ni kama tu Joseph Mbillinyi naye uwezo wake mdogo katika kuongea. Huwa hana madini kichwani.
Mjaribu kumsaidia kuwa wakati mwingine ukinyamaza unaweza onekana una akili. If you talk too much you expose your weakness easily.
Tulieni myolewe....hizo ni rasha rasha Mapokeo ya Nabii yameumiza moyo wako wa roho mbaya na ya kimaskiniHuwa natamani sana kupata nafasi ya kumsaidia kijana mwenzangu. Ambaye ni wazi uelewa wake ni mdogo sana. Na ukosefu wa Elimu inaweza kuwa sababu.
Ukikaa ukamsikiliza Tundu Lissu unaona ana madini. Au Mnyika unamwona ana madini. But Lema....😂 Anaongea kwa hisia tu hana fact. Anabwabwaja tu kinachomjia.
Mbaya zaidi yeye anaamini ana akili. Yaani hapo ndo unachoka. Ni kama tu Joseph Mbillinyi naye uwezo wake mdogo katika kuongea. Huwa hana madini kichwani.
Mjaribu kumsaidia kuwa wakati mwingine ukinyamaza unaweza onekana una akili. If you talk too much you expose your weakness easily.
Hapana - call a spade, a spade (siyo kijiko kikubwa)ifike wakati wachague maneno ya kuongea wao ndio image ya chama kinachotaka kushika madara,wasiropoke hovyo.
- mwenzio kakuuliza je ni sahihi Mtu kuhitimu Degree,Masters na kuwa bodaboda?.Kuwa mshabiki wa Chadema isikufanye ujitoe akili hao hao bodaboda anaowalaani wapo ambao wanalisha familia zao kupitia hiyo hiyo bodaboda
Unataka afanye kazi gani? huwezi kuita kazi ya mtu ni laana wakati utoi solution yoyote mbona pia wapo bodaboda wanamaisha mazuri kufanikiwa sometimes ni bahati ya mtu na bidii haki ya kazi- mwenzio kakuuliza je ni sahihi Mtu kuhitimu Degree,Masters na kuwa bodaboda?.
Kwenye Uchaguzi wakiwapuuza mkaambukia kura 1.2 mil mnaishia kulalamika eti mmeibiwa kura!!Lema Yuko sahihi.
AJALI za barabarani zinaua vijana wengi nchini kuliko UGONJWA wowote.
Anatengeneza mazingira ya kukataliwa kwenye uchaguzi Mkuu!!! Baadaye utasikia tumeporwa uchaguzi kumbe hawakuupima UPUMBAVU wao. KENGEHuwa natamani sana kupata nafasi ya kumsaidia kijana mwenzangu. Ambaye ni wazi uelewa wake ni mdogo sana. Na ukosefu wa Elimu inaweza kuwa sababu.
Ukikaa ukamsikiliza Tundu Lissu unaona ana madini. Au Mnyika unamwona ana madini. But Lema....😂 Anaongea kwa hisia tu hana fact. Anabwabwaja tu kinachomjia.
Mbaya zaidi yeye anaamini ana akili. Yaani hapo ndo unachoka. Ni kama tu Joseph Mbillinyi naye uwezo wake mdogo katika kuongea. Huwa hana madini kichwani.
Mjaribu kumsaidia kuwa wakati mwingine ukinyamaza unaweza onekana una akili. If you talk too much you expose your weakness easily.
Usahihi wake ni upi?Lema yupo sahihi na kaongea ukweli acheni kukaza mafuvu yenu nyie wafuasi wa dhalimu
Kama ni hivyo why mnawatumia kisiasa kwenye maandamano na mikutano yenu?Nadhani ni bora mngeliacha lipite hivi hivi..
Boda boda sio kaz, sio career is risky and waste of youth.
Je ajali za barabarani ni kwa Bodaboda pekee?Lema Yuko sahihi.
AJALI za barabarani zinaua vijana wengi nchini kuliko UGONJWA wowote.