King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Lema kuwa na genge la kuiba magari haoni ni laana Ila kuendesha boda ni laana Kwa kweli ni Bora angebaki Canada aendelee kuzibua vyoo vya wazungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je ni vema kusema Bodaboda ni laana?Utapanda gari - taxi kwa kuwa utakuwa na uwezo wa kulipia. Hivi kupanda pikipiki na upepo na baridi na mvua unafikiri ni raha, ni shida. Ni kweli bodaboda zimesaidia lakini kama mtu anapata namna nyingine ya kupata kipato, boda boda unaiacha.
Halafu watu wanalaumu bila kufuatilia mtiririko na logic aliyojenga
Kama Bodaboda ni laana,basi nchi nyingi Duniani zimelaaniwa.
Kenya kuna Bodaboda!
Uganda kuna Bodaboda.!
Rwanda kuna Bodaboda!
India ndiko zilikoanzia!
Philippines ziko Bodaboda!
Taiwan ziko Bodaboda!
Je!
Na huko wanaumizwa na Utawala wa CCM?
Je huko Canada alikotoka Lema, hakuna Maskini mitaani?
True said mkuu 100% right.ifike wakati wachague maneno ya kuongea wao ndio image ya chama kinachotaka kushika madara,wasiropoke hovyo.
Kura ya MPUMBAVU Imewahi saidia Nchi Gani duniani.Kwenye Uchaguzi wakiwapuuza mkaambukia kura 1.2 mil mnaishia kulalamika eti mmeibiwa kura!!
Hapo CCM inachekelea tu UPUMBAVU wenu. KENGE
Muulize awajibu?Lema yupo sahihi tu, sema sasa tunatokaje hapa tulipo?
AJALI nyingi chanzo ni boda,Je ajali za barabarani ni kwa Bodaboda pekee?
Je kuna kazi gani nyingine ambayo Chadema na Lema wake mmewaandalia hawa vijana nchini?
- Hoja yake ni kwamba serikali imeshindwa kutengeneza mazingira ya kutoa ajira rasmi na za staha.Unataka afanye kazi gani? huwezi kuita kazi ya mtu ni laana wakati utoi solution yoyote mbona pia wapo bodaboda wanamaisha mazuri kufanikiwa sometimes ni bahati ya mtu na bidii haki ya kazi
Umesema vyema ila jiulize kwa nini Rais kawatafutia mashamba na si bodaboda?Shangaa Sasa na wewe,mavijana mengi ni majinga yanatumiwa na machadema huku hawana Cha kuwasaidia..
Si Bora Rais aliyeamua kuwasaidia Kwa kuwatafutia mashamba Moja kwa.moja watawezeshwa Kila kitu kuliko Hawa wanaotumiwa kama condom na Chadema
Hivi kuna maana gani kwa mhitimu wa chuo kikuu kurudi mtaani na kuwa bodaboda!
Amewatukana wapiga kura wake!Unataka kusemaje?
Sio vijijini hata mjini Zina umuhimu sana boda asidharau Kazi za watu Kwa kua zake haziwasaidii watuBodaboda na Bajaji na Machinga wakiwekewa utaratibu mzuri na miundombinu na wawe operational maeneo Fulani Fulani ni kazi ya kuingiza kipato..
Huko Vijijini ni usafiri muhimu sana,kwanza sijajua inakuaje laana.
Unalia nini kafute machozi..tema mate tumchape Lema...Amewatukana wapiga kura wake!
Watumia Bodaboda ni tabaka ambalo ndio linazalisha wapiga kura wa nchi hii kwa kiwango kikubwa kabisa!
So wewe unaamini ccm wote wana akili na cdm wote hawana akili?.huo ni wendawazimu.Hili ni tatizo la kuamini Mungu aliumba wanaccm wenye akili na wanachadema wasio na akili! Watanzania hapo ndipo tunapoonekana watu wa hovyo kwa ubaguzi wa kijingajinga.
Heeeeh.....Nyie wanawake ndo maana mnadanganywa sana. So tayari ameshaanzisha na Kanisa lake ni nabii wenu? Ndo maana, usije ukakutana na mwanamke wa Kiafrika ukasema kitu juu ya Nabii wake. Hapo nimekuelewa.Tulieni myolewe....hizo ni rasha rasha Mapokeo ya Nabii yameumiza moyo wako wa roho mbaya na ya kimaskini