Jaribuni kufikiria kidogo, kwanini Bongo Kuna bodaboda, Dubai, Marekani, Canada hakuna bodaboda? Kwanini kijana wa Tanzania, akose ajira ya maana viwandani,akimbilie bodaboda kama mbadala wa kusongesha maisha?
Ni ufukara tu na umaskini wa nchi yetu.
Ulaana wake upo hapo,waendesha boda hawana laaana,kazi yao jinsi isivyo na Mapato na staha za kuleta maisha Bora,ndio laaana hiyo, tunaamua kufanya kazi za hovyo Ili mkono uende kinywani. Hii haikupangwa na Mungu, ni mipango duni ya CCM kwa miaka 60!
Vijana wa Zenj, na wamasai wanakuwa ma beachboy wanatumika kama sex toys kwa wazungu,kwa vile wanapata vipato tuipambe hiyo kazi kama kazi ya maana? Ni laaana tupu.