Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

Wewe utakuwa ni mpenzi wa kukandamizwa makalio, utajuta yatakapokuja kulegea na ndipo utamkumbuka Lema.
Pikipiki si chombo cha kubeba abiria, ni chombo cha matumizi binafsi.
 
Nalakala imfikie UMUGHAKA
 
Mumeanza kubadili gia angani? 😁😁
Ndo UKWELI wenyewe, umelaaniwa mfumo unaowaweka vijana na watoto wa maskini wakimaliza shule za KATA waone BODA ni Ajira rasmi.

Mtoto wa Kitila Mkumbo au MZEE MAKAMBA mbona hawajajiajiri kupiga BODA?
 
Huku ni kukosa hekima.
Kaharibu kabisa.
Kama wamelaaniwa basi angetuambia cha kufanya ili laana yao iwaondoke
Ipo siku atasema mama nitilie wamelaaniwa.
Tuwe makini naye,hana nia njema Kwa vijana wetu.
 
Ukiendelea kuilaumu CCM kwa hali yako ngumu ya maisha, amini nakwambia, hautatoka kamwe kwenye huo mzunguko wa umasikini uliopo.
 
Huku ni kukosa hekima.
Kaharibu kabisa.
Kama wamelaaniwa basi angetuambia cha kufanya ili laana yao iwaondoke
Ipo siku atasema mama nitilie wamelaaniwa.
Tuwe makini naye,hana nia njema Kwa vijana wetu.
Labda ndio maono ya kinabii 🤪🤪🤪
 
Ndo UKWELI wenyewe, umelaaniwa mfumo unaowaweka vijana na watoto wa maskini wakimaliza shule za KATA waone BODA ni Ajira rasmi.

Mtoto wa Kitila Mkumbo au MZEE MAKAMBA mbona hawajajiajiri kupiga BODA?
Subirieni kushughulikiwa kwenye kura,mtakumbushwa haya matusi na dharau
 
Hata mi nasema ni laana Wala hajakosea. Hakuna anayetaka kuwa bodaboda Bali ni ccm kufeli kuwapa ajira vijana kwa hiyo bodaboda ni last option. Hivyo kwa kifupi ccm Haina mbinu za kuwakwamua vijana
 
Hata mi nasema ni laana Wala hajakosea. Hakuna anayetaka kuwa bodaboda Bali ni ccm kufeli kuwapa ajira vijana kwa hiyo bodaboda ni last option. Hivyo kwa kifupi ccm Haina mbinu za kuwakwamua vijana
Chadema mumetoa Ajira gani Hadi Sasa?
 
Mimi nadhani vijana wengi wa chadema wajaribu kuchagua maneno ya kuongea, hawako makini , boda boda ni ajira , na zinatoa msaada mkubwa wa huduma nchini, Bora angesema uboreshwe zaidi, lakini sio kusema ni laana.

Ume toa ajira nyingi Kwa vijana, ndio private sector yenyewe hiyo imbayo inatakiwa ikuzwe.

Hivi lema katika Canada kweli? Mbona deliveries nyingi za fast food duniani Zina tumia motor bike kufanya delivery za chakula? Hizo ni laana pia?
 
Hivi nyie mods Huwa mna maslahi na Chadema?

Heading yangu niliandika Dharau za Lema ,Asema Bodaboda sio kazi ni Laana ,mbona mnabadili heading?
Nafikir wameboresha heading ila maana ni ile ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…