Tuliza mshono
Ma Dikteta wako hivyo Mkuu, ni vichaa, wendawazimu na wahuni pale wanapoona wameshindwa kwa hoja.Magufuli hana sababu ya kuogopa.
Hakuna mtu mwenye furaha na amani kwenye hii kama rais Magufuli kipenzi cha waafrika wote duniani.
Mtanyooka tu! This gov. is supersonic!!Moto wa Lissu utazidi kuwaka na kuunguza njama za kitoto.
Tuliza akili wewe . Hai iko Kilimanjaro sio Arusha. Halafu Arusha hakuna wahuni.Uchaguzi huru na wa Amani Tanzania inawezekana
Hao wahuni wasakwe na washikishwe adabu mara moja, tunataka uchaguzi wa Amani na kutaniana kama Ada yetu, inajulikana Magufuli ndiye mshindi zaidi ya 70%
Hao ni wahuni wanataka kutuchafua nchi nzima, wahuni wa Arusha na wavuta Bangi watafutwe popote walipo
Au kama zile gongo za M/kiti zimefika huko pia, wakemewe, maana hawa nao mambo yao Wakati mwingine ni ya hovyo sana
Mbona unamchafua rais wetu magufuli au unatumika na wahisani a.k.a mabeberu ?Ma Dikteta wako hivyo Mkuu, ni vichaa, wendawazimu na wahuni pale wanapoona wameshindwa kwa hoja.
Siyo Uvccm, hao ni wapumbavu.Uvccm ndiyo wanataka kuharibu ustaarabu wa wana wa wachaga.
JPM mpumbavu sana, kama amejenga madaraja na kufanya mambo mengi mazuri ana hofu ya nini?Mtanyooka tu! This gov. is supersonic!!
Nawalaumu cdm huko HaiHii ni hatari kwa mstakabali wa Taifa,vipi upande wa pili wakiamua kujibu mashambulizi.
Wote kwa pamoja tukemee bila kujali vyama vyetu, maana hali ikibadilika haiangalii ulishiriki ama hukushiriki.
Huyu ni mkuu wa WilayaMwenyekiti wa CCM huyu ni janga la taifa! Alaaniwe
Ass!JPM mpumbavu sana, kama amejenga madaraja na kufanya mambo mengi mazuri ana hofu ya nini?
Anayajua aliyopitia Mbowe kutoka kwa mkuu wa hiyo Wilaya??Duuuh, inamaana makamanda wameshambuliwa na migambo au imekuajee!
Kuna wale tuliokua tunawaambia kuwa adui wa Chadema ni Mlevi mkuu Mbowe wakawa wanabisha na kutoa lugha za kejeli.
Oooh, Mbowe ndiye anayeijenga Chadema ma wengine ni Wasaliti. !!! Imekuaje ameshindwa kujenga Chama nyumbani kwake mpaka vibaka wanawashambulia?
Kama hii ishu ni kweli Mbowe ajitathimini mana atakua ameandaa hayo magenge nyumbani kwekwe. Hakiwezekani ngome ya Chama itekwe na wahuni na vibaka na kumsumbulia Mgombea urais. Aibu kubwa kwa Mbowe wala si vinginevyo.
Ass!
Kiongozi mimi naamini ameimarisha ngome yake vizuri, na walipoona wameshindwa hoja za kumyumbisha wameamua kutumia mamluki chini ya usimamizi wa polisi. Ila tusubiri taarifa kama ilivyo ahidiwa.Duuuh, inamaana makamanda wameshambuliwa na migambo au imekuajee!
Kuna wale tuliokua tunawaambia kuwa adui wa Chadema ni Mlevi mkuu Mbowe wakawa wanabisha na kutoa lugha za kejeli.
Oooh, Mbowe ndiye anayeijenga Chadema ma wengine ni Wasaliti. !!! Imekuaje ameshindwa kujenga Chama nyumbani kwake mpaka vibaka wanawashambulia?
Kama hii ishu ni kweli Mbowe ajitathimini mana atakua ameandaa hayo magenge nyumbani kwekwe. Hakiwezekani ngome ya Chama itekwe na wahuni na vibaka na kumsumbulia Mgombea urais. Aibu kubwa kwa Mbowe wala si vinginevyo.
Hopeless thread ever!!Hizi ndio taarifa zilizovujishwa na Watanzania wazalendo waliokuwepo kwenye eneo la tukio wakiwemo askari Polisi ambao wamekataa kutumikishwa .
View attachment 1537277
Tunawashukuru Wazalendo wanaoendelea kufichua uozo huu hatari unaoweza kuhatarisha Usalama wa Nchi.
Nachukua nafasi hii kumkumbusha huyu Mtukufu OCD wa Hai kwamba Omary Mahita aliyekuwa IGP wa nchi hii ambaye rekodi yake ya ukatili dhidi ya upinzani bado haijavunjwa , baada ya kustaafu alikamatwa na kushitakiwa bila huruma yeyote kwenye mahakama ya Wilaya ya kinondoni kwa kumjaza mimba house girl wake na kukataa matunzo ya mtoto .
Pamoja na Mahita kuisaidia ccm kuliko hata huyu ocd wa Hai anavyofanya , bado ccm haikumuokoa na aibu ya kushitakiwa kwa kosa hilo la aibu ambapo bado haijajulikana kama Mahita alimbaka huyo House girl ama walikubaliana , ccm haijawahi kumuokoa yoyote kwenye majanga .
Muda utaongea .