Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Uchaguzi huru na wa Amani Tanzania inawezekana

Hao wahuni wasakwe na washikishwe adabu mara moja, tunataka uchaguzi wa Amani na kutaniana kama Ada yetu, inajulikana Magufuli ndiye mshindi zaidi ya 70%

Hao ni wahuni wanataka kutuchafua nchi nzima, wahuni wa Arusha na wavuta Bangi watafutwe popote walipo

Au kama zile gongo za M/kiti zimefika huko pia, wakemewe, maana hawa nao mambo yao Wakati mwingine ni ya hovyo sana
Tuliza akili wewe . Hai iko Kilimanjaro sio Arusha. Halafu Arusha hakuna wahuni.
 
Sambya katoa elfkumi kila muharamia apige mxafara walisu mawe kwani akiona mafuriko hivyo anajua bwanake anakaxirika
 
Uvccm ndiyo wanataka kuharibu ustaarabu wa wana wa wachaga.
Siyo Uvccm, hao ni wapumbavu.
CCM haihitaji upumbavu kujijenga hasa Kilimanjaro kwenye ustaarabu.
Vyama vingi Kilimanjaro vimefanya kidemokrasia kama ilivyo kwa nchi zilizoendelea, kwa nini wananchi wakubali kurudishwa nyuma na wahuni wachache?
Chama chochote chaweza kushinda kwa amani Kilimanjaro tangu zamani.
Ustaarabu huu ulindwe kwa gharama yoyote ile.
Mwawazo ya kijima yarudi huko huko kwa wajima.
 
Pumba kabisa, kwenye huo mkutano hawakuwepo wanaume?
Si tumesema #SASABASI#
 
Hii ni hatari kwa mstakabali wa Taifa,vipi upande wa pili wakiamua kujibu mashambulizi.

Wote kwa pamoja tukemee bila kujali vyama vyetu, maana hali ikibadilika haiangalii ulishiriki ama hukushiriki.
Nawalaumu cdm huko Hai
Tumesema #sasabasi#
 
Duuuh, inamaana makamanda wameshambuliwa na migambo au imekuajee!

Kuna wale tuliokua tunawaambia kuwa adui wa Chadema ni Mlevi mkuu Mbowe wakawa wanabisha na kutoa lugha za kejeli.
Oooh, Mbowe ndiye anayeijenga Chadema ma wengine ni Wasaliti. !!! Imekuaje ameshindwa kujenga Chama nyumbani kwake mpaka vibaka wanawashambulia?

Kama hii ishu ni kweli Mbowe ajitathimini mana atakua ameandaa hayo magenge nyumbani kwekwe. Hakiwezekani ngome ya Chama itekwe na wahuni na vibaka na kumsumbulia Mgombea urais. Aibu kubwa kwa Mbowe wala si vinginevyo.
Anayajua aliyopitia Mbowe kutoka kwa mkuu wa hiyo Wilaya??
 
Hapo sasa wale watu wa usalama wameshatoa taarifa kwa rais kuwa huwezi kushinda uchaguzi na matokeo yake ndio haya yanayoonekana sasa.

Huu ni mkakati ulioandaliwa mahususi na tayari polisi wamepewa maagizo wasiingilie, wajifanye tu kama vile hawaoni.

Tumeongea mno humu mara kadhaa kuwa hakuna kitu Magufuli anaogopa maishani mwake kama ushindani na hili alilifanya toka akiwa mbunge.

Chadema sasa itabidi waamke kwani kwa style hii hawataweza kufanya kampeni. Waitishe mkutano na vyombo vya habari vya ndani na nje waliongelee hili kwa sauti kubwa kabisa kwani huko tuendako inaonekana wana mpango wa kumwaga damu kwani wako very desperate.
 
Duuuh, inamaana makamanda wameshambuliwa na migambo au imekuajee!

Kuna wale tuliokua tunawaambia kuwa adui wa Chadema ni Mlevi mkuu Mbowe wakawa wanabisha na kutoa lugha za kejeli.
Oooh, Mbowe ndiye anayeijenga Chadema ma wengine ni Wasaliti. !!! Imekuaje ameshindwa kujenga Chama nyumbani kwake mpaka vibaka wanawashambulia?

Kama hii ishu ni kweli Mbowe ajitathimini mana atakua ameandaa hayo magenge nyumbani kwekwe. Hakiwezekani ngome ya Chama itekwe na wahuni na vibaka na kumsumbulia Mgombea urais. Aibu kubwa kwa Mbowe wala si vinginevyo.
Kiongozi mimi naamini ameimarisha ngome yake vizuri, na walipoona wameshindwa hoja za kumyumbisha wameamua kutumia mamluki chini ya usimamizi wa polisi. Ila tusubiri taarifa kama ilivyo ahidiwa.
 
Hizi ndio taarifa zilizovujishwa na Watanzania wazalendo waliokuwepo kwenye eneo la tukio wakiwemo askari Polisi ambao wamekataa kutumikishwa .
Instagram media - CD4L5QXApgK ( 640 X 640 ).jpg

Tunawashukuru Wazalendo wanaoendelea kufichua uozo huu hatari unaoweza kuhatarisha Usalama wa Nchi.

Nachukua nafasi hii kumkumbusha huyu Mtukufu OCD wa Hai kwamba Omary Mahita aliyekuwa IGP wa nchi hii ambaye rekodi yake ya ukatili dhidi ya upinzani bado haijavunjwa , baada ya kustaafu alikamatwa na kushitakiwa bila huruma yeyote kwenye mahakama ya Wilaya ya kinondoni kwa kumjaza mimba house girl wake na kukataa matunzo ya mtoto .

Pamoja na Mahita kuisaidia ccm kuliko hata huyu ocd wa Hai anavyofanya , bado ccm haikumuokoa na aibu ya kushitakiwa kwa kosa hilo la aibu ambapo bado haijajulikana kama Mahita alimbaka huyo House girl ama walikubaliana , ccm haijawahi kumuokoa yoyote kwenye majanga .

Muda utaongea .
 
Hizi ndio taarifa zilizovujishwa na Watanzania wazalendo waliokuwepo kwenye eneo la tukio wakiwemo askari Polisi ambao wamekataa kutumikishwa .
View attachment 1537277

Tunawashukuru Wazalendo wanaoendelea kufichua uozo huu hatari unaoweza kuhatarisha Usalama wa Nchi.

Nachukua nafasi hii kumkumbusha huyu Mtukufu OCD wa Hai kwamba Omary Mahita aliyekuwa IGP wa nchi hii ambaye rekodi yake ya ukatili dhidi ya upinzani bado haijavunjwa , baada ya kustaafu alikamatwa na kushitakiwa bila huruma yeyote kwenye mahakama ya Wilaya ya kinondoni kwa kumjaza mimba house girl wake na kukataa matunzo ya mtoto .

Pamoja na Mahita kuisaidia ccm kuliko hata huyu ocd wa Hai anavyofanya , bado ccm haikumuokoa na aibu ya kushitakiwa kwa kosa hilo la aibu ambapo bado haijajulikana kama Mahita alimbaka huyo House girl ama walikubaliana , ccm haijawahi kumuokoa yoyote kwenye majanga .

Muda utaongea .
Hopeless thread ever!!
 
Back
Top Bottom