Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Channel zipo nyingi zenye kuonesha hayo matukio ya lisu ni nguvu kukuta ni ipikama wewe mwenyew umeshindwa kutaja hiyo channel umeshapoteza point hapa

Bahati mbaya sikujua hili litakuwa na umuhimu. Maana hata Mbowe na Nyalandu wakipitia hapa watashangaa kumbe tulistukiwa. Anyway wakati mwengine nitakuwa makini na Zile Ws. When, where, what,Who nk nk.
 
Hili ni tukio la kiuoga na kimkakati lenye lengo la kutoa utisho kwa CDM. Huku ofisi za kanda zinachomwa moto, huku msafara unapigwa mawe, kule tume inatoa kauli za kutaka kuwaengua baadhi ya wagombea ifikapo tarehe 25-08-2020 huku mlengwa akionekana wazi.

Kule kesi za uchochezi zikishinikizwa kusikilizwa kwa haraka pasipo kuzingatia mazingira ya kisiasa ya sasa, kule vyombo vya dola na vya habari vikipewa maagizo ya kwenda kinyume na maadili yao ya kazi, muda ni mchache bali mambo ni mengi.
 
Mangula nae atakua ameiga chadema tabia ya kujidhuru sio?

Ile sumu vipi alipona?

Wewe uko dunia gani? Maana tetemeko la 5.9 lilipopita Tanzania kishindo kililisika na kikaongelewa dunia nzima.
 
 
Tunawapeni salaam nyinyi wahutu kuwa cdm ikiingia madarakani lazima wahamiaji haramu wote mrudi kwenu Burundi
Nyinyi ni watutsi? - nafikitlri neno wahutu hujui maana yake! Ni kama watoto niliowasikia hapo zamani wanatukanana mmoja akasema - Vuladvostok, Java, Sumatra and Philippines islands!

Ndio yako sasa! Sijui umesoma mpaka kiwango gani, maana kama mtanzania mwenye heshima na uelewa huwezi kutumia maneno kama mhutu, mkalenjini, muyoruba etc. Kuonyesha dharau kwa wenzako!
 
Wewe uko dunia gani? Maana tetemeko la 5.9 lilipopita Tanzania kishindo kililisika na kikaongelewa dunia nzima.
Na yale manati ya kwny kipago wameyafanyia subsitution method ili yawe mkabala wa mpunyenye uweze kusogezwa kwa kiwango cha ritcher.

Lkn sio mbaya mkuu maana circle ya kipaimara iko parallel kutokea usawa wa bahari kwenda kwny technical plates ambayo italeta Gamma Rays zenye tofauti ya +/- 0.7%
 
Ukishachukua fomu ya kugombea Urais, lazima jeshi la Polisi litoe Askari wa kukulinda...
Hata mimi naamini hivyo na hata Lissu mwenyewe alilisema hilo kisheria.
Lakini ukisoma bandiko lenyewe kuna mahali wameandika kwamba polisi walikuwepo na wameangalia tu bila kuchukua hatua zozote.

Nadhani kwa kukosa ulinzi wa polisi ndio likichopelekea mkutano husifanyike.

Pia rejea kauli ya IGP alipo ulizwa juu yakumkamata Lissu. Pamoja na maelezo mengine lakini aliweka wazi kwamba watampatia polisi wakumlinda kama atapitishwa na (tume ya uchaguzi) kuwa mgombea urais.

Hivyo ukitafsiri kauli ya IGP na kilichoandikwa kwenye mada husika utapata jibu kwamba pamoja na kuwepo polisi katika tukio lakini suala la ulinzi kwa Lissu ni adi atakapo pitishwa na tume ya uchaguzi.
 
Very well said Mtende 👊🏽👊🏽

 
Hao wahuni wangekuja huku mbeya cha moto wangekiona na hayo mawe yao yangewarudia mbona tungewaroga.
 
Hujuma Kama hizi viongozi wa dini hawazioni wanasubiri jumapili ifike tuwapelekee sadaka zetu// kwa maisha haya yaliyoletwa na hiki chama jitu halifanyi kazi basi kemea hata uovu liko kiiiiimya linasubiri our hard erned money likanywee bia.
 
Hujapata taarifa kamili bado!
 
Kwenye kizazi changu atakayekuja kuwa polisi au kujiunga na ccm na alaaniwe
 

Hiyo mionzi, sijui manati, kipago, sijui ricin, na vya aina yake, havifui dafu kwa ile nguvu ya miguu ya wakoma iliyotoa kishindo jeshi likatoka nduki na likaacha raslimali zake zote. Haiambulii kitu kwa kombeo la Daudi lilomdondosha Goliati.

Watakuja kwa njia moja watatawanyika kwa njia saba. Watakanyaga nge na nyoka, watanyeshwa sumu zitaishia patupu. Niendelee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…