Azima hata kwa jirani kama ubongo wako umechoka/kusinyaa kiasi hikiAlitaka kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mbowe akataka kumfanyia kama Chacha Wangwe
Hii ni hatari kwa mstakabali wa Taifa,vipi upande wa pili wakiamua kujibu mashambulizi.
Wote kwa pamoja tukemee bila kujali vyama vyetu, maana hali ikibadilika haiangalii ulishiriki ama hukushiriki.
Kwa yule DC....sishangaiHii ni hatari kwa mstakabali wa Taifa,vipi upande wa pili wakiamua kujibu mashambulizi.
Wote kwa pamoja tukemee bila kujali vyama vyetu, maana hali ikibadilika haiangalii ulishiriki ama hukushiriki.
Nimekutana na hii huko mtandaoni:.
Olesabaya mange tu...siongezi kitu.
..lakini sikiliza kwa makini kuanzia dakika ya 2:00.
Hakuna shaka nimamlaka za juu ndiyo imefanya uhuni huu!
Mwenyekiti Ulinzi na Usalama (W) anaporatibu watupa mawe
Ahahaha,naona flyover hazijaweza zuia lissu kupendwa
ThubutuuuuuMagufuli hana sababu ya kuogopa.
Hakuna mtu mwenye furaha na amani kwenye hii kama rais Magufuli kipenzi cha waafrika wote duniani.
Waulize hao wahuni waliotumwa na Sabaya wamepata ujumbe gani iyo janaDaah lisu hakubaliki kabisa.