Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Hii ni hatari kwa mstakabali wa Taifa,vipi upande wa pili wakiamua kujibu mashambulizi.

Wote kwa pamoja tukemee bila kujali vyama vyetu, maana hali ikibadilika haiangalii ulishiriki ama hukushiriki.

Hii imeanza vizuri sana. Siku zote walizowea kushambulia wapinzani huku wakilindwa na polisi.

Safari hii hawatavumiliwa. Wataachwa waanze. Halafu watafundishwa adabu. Udikteta dawa yake kichapo kuanzia mtaani hadi msituni.

Wakilianzisha hawatalizima. Na walivyo wajinga na kujiamini, hawatabadili mbinu wala kujizuwia.

Kesho itasimulia ya jana.
 
Hii ni hatari kwa mstakabali wa Taifa,vipi upande wa pili wakiamua kujibu mashambulizi.

Wote kwa pamoja tukemee bila kujali vyama vyetu, maana hali ikibadilika haiangalii ulishiriki ama hukushiriki.
Kwa yule DC....sishangai
 
Pimbi wa kutupa Ole sabaya ndio mratibu wa tukio ,hebu tunzeni rekodi za matukio haya aje ajibu mbele ya safari.
 
Aisee yani Tanzania huwezi jua kipi bora kati ya mvua na Jua
 
CCM ni wapumbavu sana kwa kweli. Na mwaka huu ndo mwisho wao kutawala Tanzania. Kama Mungu aishivyo lazima wawe wapinzani baada ya uchaguzi wa October 2020
 
Back
Top Bottom