Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu anahakikisha amekibomoa hicho 'kikundi' kabla ya kuhamia chama chake kipya.
Akiingia Ikulu atakuwa Mugabe 🐼As long as yupo hai, ana afya njema na nguvu, sahau kama Chadema watamuweka kando Mbowe
CCM ni taasisi kubwa mno, hiyo anajaribu kutikisa manyoya tu.
We naye Acha kupotosha weka statement yote. Alichoandika lema mwishoni anadai lissu anasema "wapambe wasitugombanishe" na hiyo ndio ilikua quotation ilipoishia. Cha ajabu umechukua maneno ya kwanza ukayakatiza katikati. Hivi Jamii check kazi yake ni nini hasa kama fake news hazifutwagi?Godbless Lema ameandika ukurasani X
Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja
Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee
Lissu atagombea urais na Mbowe uwenyekiti hawa wanajuana watagawana majukumuKwa hatua iliyofikia inabidi Lissu akubaliane na hali au ahame chama. Iko wazi kuwa Mbowe kamtumia Lema kufikisha ujumbe kwa Lissu. Na Lema kafanya vizuri sana kutamka kuwa kulikuwa na mashahidi. Godbless Lema kaandika hivi mitandaoni;
Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu wengi pamoja na ushauri wake.Jibu langu kwenu ni hili ,tukiwa Arusha mahali fulani kwenye mazungumzo yetu ambapo nilikuwepo pamoja na Kamanda Wenje, Heche,Msigwa na Mkti F.Mbowe, Mh Lissu aliongea maneno haya “ Nanukuu “ Kaka , Mwenyekiti , ulibeba chupa ya damu nisife wkt nimeshambuliwa kutoka Dodoma ukiwa umesimama kwenye ndege mpaka Nairobi,na ulikaa Nairobi na wenzako hawa muda wote wa matibabu yangu , siwezi kuchukua fomu utakayogusa kwenye Chama hiki,tusiruhusu wapambe watuharibie CHAMA “.Maneno haya niliyasikia Mimi, Heche, Msigwa, Wenje na Mwenyekiti Mbowe.Hakuna vita kwenye nafasi ya Urais CHADEMA isipokuwa kuna wapambe wajinga na CCM haswa ktk muelekeo wa siasa 2024/2025.
View attachment 2981488
Bottom line ni statement nzima kwamba "wapambe wasitugombanishe". Chadema hakuna crisis yoyote kama ni kugombea urais, mbona Lissu aligombea 2020 licha ya Mbowe kuchukuliwa fomu ya urais na wapambe?Lema kazingua sana, hapo ni kwamba anamkumbusha Lissu ahadi yake wala sio kujibu hoja za Bob Wangwe na wenziwe kama anavyodai.
Siasa za fadhila ndizo tunazozipiga vita kila wakati, zikitumika kutoa vyeo isivyo kihalali. Leo hii nao wanakumbushana fadhila, ujinga mtupu.
Hiyo ni endapo Lissu ndiye angekuwa ameitoa hiyo statement.Bottom line ni statement nzima kwamba "wapambe wasitugombanishe". Chadema hakuna crisis yoyote kama ni kugombea urais, mbona Lissu aligombea 2020 licha ya Mbowe kuchukuliwa fomu ya urais na wapambe?
Issue kubwa ya hiyo statement ni kwamba Lissu hataki wapambe wawakosanishe wakati personally anamheshimu Mbowe and vice versa kwa kurejea issue ya Mbowe kusimama kwenye ndege akishikilia chupa za kumuongezea damu hadi Nairobi.
Mgogoro upi? Mbona message ipo clear kuwa Lissu hayupo ku compete na yeyote ila issue ni wapambe kuwakosanisha? Na hili ndio la muhimu zaidi.Kwa hatua iliyofikia inabidi Lissu akubaliane na hali au ahame chama. Iko wazi kuwa Mbowe kamtumia Lema kufikisha ujumbe kwa Lissu. Na Lema kafanya vizuri sana kutamka kuwa kulikuwa na mashahidi. Godbless Lema kaandika hivi mitandaoni
Kuna kambale nyuma, wamemtanguliza kidagaaCCM ni taasisi kubwa mno, hiyo anajaribu kutikisa manyoya tu.
Chama chako hakuna haja ya kupangiwa cha kufanyaGodbless Lema ameandika ukurasani X
Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja
Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee
====
Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu wengi pamoja na ushauri wake.
Jibu langu kwenu ni hili ,tukiwa Arusha mahali fulani kwenye mazungumzo yetu ambapo nilikuwepo pamoja na Kamanda Wenje, Heche,Msigwa na Mkti F.Mbowe, Mh Lissu aliongea maneno haya “ Nanukuu “ Kaka , Mwenyekiti , ulibeba chupa ya damu nisife wkt nimeshambuliwa kutoka Dodoma ukiwa umesimama kwenye ndege mpaka Nairobi, na ulikaa Nairobi na wenzako hawa muda wote wa matibabu yangu , siwezi kuchukua fomu utakayogusa kwenye Chama hiki,tusiruhusu wapambe watuharibie CHAMA “.
Maneno haya niliyasikia Mimi, Heche, Msigwa, Wenje na Mwenyekiti Mbowe.Hakuna vita kwenye nafasi ya Urais CHADEMA isipokuwa kuna wapambe wajinga na CCM haswa ktk muelekeo wa siasa 2024/2025.
View attachment 2981595
It's too late. Chawa hamwezi kuokoa jahazi lililozamishwa na Lema. Statement ya Lema iko wazi kumwambia Lissu akumbuke fadhila. Na hapo Lema kamwambia kistaarabu sana kwasababu Lema alishawahi kumshurutisha kiongozi mwenzake Msigwa afute post yake kwa neno moja tu FUTA.Mgogoro upi? Mbona message ipo clear kuwa Lissu hayupo ku compete na yeyote ila issue ni wapambe kuwakosanisha? Na hili ndio la muhimu zaidi.
Kama hayo aliyosema Lema ni ujumbe wa Mbowe, mbona 2020 Lissu alichukua fomu ya kugombea Urais licha ya Mbowe "kuchukukuliwa" fomu ya kugombea Urais?
Lissu mroho wa madarakaGodbless Lema ameandika ukurasani X