Pre GE2025 Lema: Nikiwa na Wenje, Heche na Msigwa makamu Tundu Lisu alituhakikishia Nafasi atakayogombea Mbowe basi Yeye hatachukua fomu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu Lema ndio muharibifu namba moja wa Chadema na unabii wake fake

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Lisu anachochea moto, Lema anazima moto kwa kuililia moshi wa CCM dah 🐒
 
Hii kauli ina ubaya gani? Kuwa Lissu kumwamini Mbowe na kumuona ni kiongozi mzuri kuna ubaya? Je, Lissu alisema Mbowe asipingwe na wengine wanaotaka kufanya hivyo? Je, Lissu alisema Mbowe awe mwenyekiti wa maisha wa CHADEMA?
 
Yohana unatakiwa uwe unafikiri wakati mwingine. Alichosema Lema ni kuwa Lissu alimuahidi Mwenyekiti wake kuwa hatashindana nae katika kugombea nafasi yeyote. Hajakatazwa bali ni utashi wake. Aidha, hamna mtu yeyote ( ikiwa pamoja na Lissu) aliyekatazwa na chama kugombea nafasi yeyote katika Chama.
Hii ni tofauti sana na huko kwenu ambako kuna jitihada za kutoa fomu tu kwa mgombea wa urais (kwenu nafasi ya uenyekiti ya chama haijawahi kugombewa) na hivyo kuzuia mtu mwingine yeyote kuwa mgombea wa nafasi hiyo kwa niaba ya chama chenu!

Amandla...
 
Lissu hawezi kupewa uwenyekiti Chadema hana busara na hekima za kiuongozi chama kitayumba bora ya HECHE mara kumi.
 
Reactions: Tui
Mleta mada umeandika kitu tofauti na kile alichoandika Lema kwenye ukurasa wake wa X.

Lema kaongelea fomu ya uenyekiti, wewe unaongelea urais.

Hebu soma tena

Kuna uhusiano gani kati ya mbowe kuokoa uhai wa lisu na kugombea uenyekitiki?

Lile tendo la fadhili alilotenda mbowe kwa lisu na kuchukua fomu ya uenyekiti lisiwekwe chungu kimoja cha demokrasia. Kufanya hivyo kutapoteza maana ya ule wema wake na kuonekana alifanya kwa kumuhonga lisu ili awe mtiifu kwake.
 
That's nonsense.... mbona 2020 Mbowe alichukua fomu na Lissu alichukua fomu ya urais pia? Fadhila zisilipwe 2020 zije kulipwa 2025? Mmeshaambiwa wapambe acheni chokochoko!! Chadema hakuna mgogoro.
 
Shida mnaushabiki wa vyama sana kama ingekuwa ni upande wa CCM sidhani ungeongea kama hivyo
 
Kwa hiyo kumbe issue hapo ni mgombea urais ... okay
 
That's nonsense.... mbona 2020 Mbowe alichukua fomu na Lissu alichukua fomu ya urais pia? Fadhila zisilipwe 2020 zije kulipwa 2025? Mmeshaambiwa wapambe acheni chokochoko!! Chadema hakuna mgogoro.
Hayo maswali muulize Lema.
 
Hiki CHAMA Kimekuwa kikubwa sana ndiyo maana mishale ni mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…