Lema ulifutiwa makosa na Rais Samia lakini unataka Pauline Gekul ang'ang'aniwe. Tabia za kubebana msipende maana zinaharibu mfumo

Kuna tetesi zinasema kuna wanyapara wako gerezani wanamsubiri Gekul kwa hamu ya hatari. Jamaa wamejiapiza Gekul ajipange kupigwa full pipe akitua tu gerezani.
Acheni uongo bhana....

Mngejua hali halisi ya magereza na mahabusu ilivyo msigeandika huu uongo.
 
Sasa uvccm hapa unamaanisha rais ndio anatoa hukumu ya mwisho kimahakama? Ww kama mwanaccm kindakindaki hili unaliona ni sawa?
 
Lema alifutiwa makosa ama tuhuma?
Rais anamamlaka ya kumfutia mtu makosa ama mahakama ndio inatangaza mtu hana hatia?
Huu upuuzi ndio nyie UVCCM mnafundishwa huko Ihemi?
Kwamba aliyetoka jela kwa kosa la kuua akikuta mtu anaua akae kimya kwakuwa naye aliua?
wewe ni mpuuzi kati ya vijana wapuuzi hapa Tanganyika.

#Upuuzi siyo tusi, ni kiwango cha juu cha ujinga.
 
Ilifaa ile chupa uingiziwe wewe.Mtafute Gekul haraka iwezekanavyo.
 

Nilikua najiuliza kamanda asiechoka nini hicho? Leo ndio nimepata jibu ww ni kamanda usiechoka kunyonya bolokoni
 
Kuna tetesi zinasema kuna wanyapara wako gerezani wanamsubiri Gekul kwa hamu ya hatari. Jamaa wamejiapiza Gekul ajipange kupigwa full pipe akitua tu gerezani.
Full pipe unamaanisha kotekote au sijakuelewa? Yaani 0784.... na 0713...
 
AKILI NDOGO NI SUMU YA MWILI, HATA NA WEWE NI GT? NAONA AIBU MIE
 
Vp kuhusu dogo kufumuliwa rinda

Atasaidiwaje

Ova
 
Hahahaha jambazi lema. Yaani huyu ni mchandomo hivyo ndivyo walivyofundiashwa
 
Ila kuna watu mnawaza kwa kutumia makalio badala ya ubongo,Samia amfutie makosa kiongozi, wa, upinzani!
Mbowe alipewa, kesi ya ugaidi! Na ccm ili asiwape moto kwenye siasa, hata mtoto wa std 1 anajua hili, ilikuwa kesi ya mchongo, ccm imeua, imeumiza, kwa kutumia polisi, na idara zake nyingine za, kijambazi. Unampa mtu kesi ya ugaidi, baadae inafutwa, harafu mtu huyo anakaribishwa Ikulu!
Mbona samia hajaenda hata kukaa na waliohukumiwa kunyongwa! Lakini ameweza kumkaribisha "gaidi" Ikulu, akili za, ccm kama wachawi,
 
Kama Lema alifutiwa Mashitaka hii inaleta tafsiri Gani kwenye Mifumo ya Mahakama Zetu?
 
Rais amepata wapi mamlaka ya kumfutia mtuhumiwa makosa? Ukiona hivyo jua ile ilikuwa ni kesi ya kisiasa ya kubambikiwa kama mashetani ya kijani yalivyozoea
 
We bopeless kweli lema alimkatili na kumnyanyasa kijinsia nani.

Huyo Gekul adhabu yake ni kunyongwa
 
Mashtaka ya mchongo lema angeshinda kesi asubuhi....ukiona unaumia nawe tukuwekee kitu kigumu unakalie
 
Kumbe Gekul kalipiza kisasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…