Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi.
Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema.
Lakini rais alimfutia kesi zake zoke.
Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.[emoji116]
===
Alichoandika Godbless Lema "Mheshimiwa Rais SSH kuna mchezo unataka kufanywa Babati wa kutumia nguvu,fedha na ushawishi wenye hila ili kupotosha ukweli juu ya tukio lililofanywa na Mb Pauline Gekul. Najua una majukumu mengi, huwezi kuwa kila mahali kwa kufuatilia kila jambo.Lakini usiruhusu dhambi hii ya kijana kuingiziwa chupa ktk sehemu za siri ya haja kubwa ikashinda. Mungu atawachapa sana kwani yeye hadhihakiwi.Heshima kwako ni haki kushinda na sio image ya mtu."