Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

Kuna jamaa namjua kabisa na alioa mke msomi na mzuri na mfanyakazi serikalini.
Kwenye idara ya mke wake aliletwa mkuuu mpya, ambaye alikuwa Ex wa huyo mwanamke.
Jamaa alimpa optio kuacha kazi au kuacha ndoa...
Kwahiyo aliacha posho na marupurupu ya ex boss na tu-trip twa kula bata 😹😹
Bora ndoa ife kwanza siku hizi sio dili km zamani.!!
 
Wamekutuma uwasemee? Wake zetu unatupangia madharti ya vile unavyotaka wawe, nani anakupangia mipango ya mkeo?
 
Umeongea point sana hapo mwisho
 
Mke lazima aishi kwa matakwa ya mumewe,amtii na amheshimu,kama kaambiwa akae nyumbani anakula na kuvaa na mahitaji yote anapa wewe unatesekaje,
Na kwanini uwaze kufa ili usifanye kitu fulani,hayo ni mawazo na akili ya masikini
 
Pata bia nakuja kulipa
 
Badilika mkuu una fikra za kale sana
 
Wengi walioachishwa kazi wamekuwa watumwa kwa waume zao wamekuwa ovyo hawavutii kabisa na akili inadumaa kwasababu mda wote yupo nyumbana kazi yake kusafisha nyumba
Unatakiwa kumvutia mumeo tu na si wengine,na sio utumwa bali ni kuwa na heshima na utiifu kwa mume wake ,viruka njia pekee ndio wanaoweza kuona ni utumwa,
Wanawake ni viumbe dhaifu sana,nakazia DHAIFU SANA
 
ni bora mke kuumpa biashara yake aisimamie mwnyw kuliko kuajiriwa,
hv utajisikiaje ukienda ofisi alipo mke wako halafu ukamkuta anafokewa na boss wake
 
Yani mzee wangu kala msoto kunilipia ada havai vizuri hatuli kuku Nije nipate kazi mtu aniambie acha kazi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Mda huo unawatunza na wazaziwake waliomsomesha Kwa tabu na shida nyingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…