Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

Ukifanya ivyo basi uto endelea
 
Kila mtu acheze karata zake sion umuhimu wa mke alie ajiriwa hapa nikufanya kile nachotaman kifanyike hasa miradi mikubwa/midogo ntakayo anzisha awe msimamizi na mtoa maamuzi kwa ushirikiano wangu na wake YES
Hapo sawa tuna chozungumzia ni kumkataza kabisa mke kutofanya kazi ata biashara yeye awe nyumbani tu kukaaa
 
Inakuwaje mkifa wote, eti Maisha yamebadilika hakuna kilichobadilika.
Pia uelewe tunatofautiana mawazo ama akili zetu Kama tunavyotofuatiana physically, na ndio Maisha yetu hatufanani.
Wewe fanya unachoona kinakufaa namie ninachoona kinanifaa.
Sasa shida inakuja mie kulazimisha wewe uone nachokiona
 
Oh sawa ila tunajairibu kufikirishana
 
Unaujua umuhimu wa goal keeper?
Goal keeper akipewa kadi nyekundu, timu hauchezi bila goalkeeper. Mbona mnadharau sana namna hiyo?

Ni umasikini wako tu, tafuta hela mkeo asifanye kazi.
 
Ukifanya ivyo basi uto endelea
Sijui ni Maendeleo gani unayoyataka.
Mimi nina mamlaka kamili kwa wake zangu wote.
Nalala nao nnapotaka bila mtu mwingine kuwapangia ratiba eti arudi nyumbani kwa kuruhusiwa na boss wake! Lol!
I'm the only boss to my wives and enjoy the life na sioni nakosa Maendeleo gani unayoyataka wewe
 
Nimeuliza ukimuachisha kazi unakuwa unatunza wazee wake km unavowatunza wako?
In a nutshell; jukumu la ku-provide ni la mwanaume regardless whether mkewe ameajiriwa. Ndio maana nilikuuliza kama upo kwenye ndoa maana michango yako ni very amateurish, you seem too theoretical, too naive.
 
Kwamba mke wake ndio mzuri zaidi dunian kote hakuna? Ni upumbavu mwanamke akiamua kuchepuka anachepuka vizur
Mwanamke Aolewi kwa sababu tu Ya Sehemu Zake Za Siri hapana Akikubali Kuolewa Kwa Kiasi fulani Anauza na Baadhi ya Haki na Uhuru wake Kwa Mumewe Inatakiwa Atii,Anyenyekee,Na Asikilize Sasa kwa Asilimia 99.9 Akishakuwa na Ajira Au Biashara Hivyo nilivyovitaja Kimoja kimoja uanza kuondoka kuja kutaamaki Kama havijaamia kwa Boss basi Mfanyabiashara Vitaamia kwenye Hela Heshima yote Itaanza kuyeyuka kama Barafu kwenye Maji na Hiyo Ndo ilivyo Kitakachoendelea Hapo ni Uvumilivu Wa Mwanaume Ndo Utachukua Nafasi.
 
Nafikiri hakuna formula hapa... Hao wanawake magolikipa mnaowaacha nyumbani.....Wanaliwa huko huko nyumbani mlipowaacha.... Pppptttyyyuuu
Huyu wa Hivi Akiwa Mfanyakazi Atatyombeshya Huko Kazini Mpaka Kwa Wafagiaji.Ukiwa na Mwanamke tu Tayari umetengeneza Tatizo ila Sasa kuna wa Afadhari na wale wa Potelea Mbali je Wewe uko Kundi Gani?
 
Wivu ndio shida
Kama Huna Wivu Kwa Nini Uamue Kufuga Binadamu Ndani?Hiyo Tv yako Una wivu Nayo Sembuse Mke ! Vijana wa Sasa Hamna mlijualo Mapenzi bila Wivu Ni sawa na Gari bila Matairi Na ukijiona huna Wivu Jua Ndoa sio Size Yako Nenda kajimalize kule kwa Buku 3.
 
Kuna Sehemu Una Shida Jaribu Kuitafuta.
 
Mimi naunga mkono wanaume wanaowaachisha kaz za kuajiriwa wake zao na kuwafungulia biashara. Ndugu mwandishi utachagua ww km mume umuongoze au boss wake kazini ndio amuongoze.
 
Sahihi
 
Naunga mkono hoja
 
Wewe kielewa hapa inahitajika juhudi ya ziada sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…