Leo 16 September Mahakama inaendelea kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Kabisa
Kabisa kabisa
Mahakama inatakiwa iwe huru
 
Kama unajua walipo kachukue samansi upeleke kwa niaba ya lissu
 
Na hawajulikani wanarudi lini, wonders will never cease
Yaani wakienda nje ya nchi ni kama vile wanatembelea nyumba ndogo, ratiba zao hazijulikani... Jamani hata nyumba ndogo ina ratiba zake na inajulikana itatembelewa tarehe ngapi , saa ngapi na siku gani...hawa jamaa wasitake kleta ngumu hadi wapewe contempt of court order... yote hii ni kukimbia maswali ya 29/10/2025...
 
Asipofika mahakamani bhasi muhimili wa mahakamani itabidi nao ufutwe maana muhimili wa bunge umeshakufa tayari.
 
Waambie waache kujificha. Waende mahakamani wakatoe ushahidi wao. Au ndiyo kusema zile bunduki zao na vimulimuli havina manufaa tena mbele ya yule mwamba?
Kwani ushahidi wa Khalifa unaanzia wapi?Je haujawasilishwa??
Mshtakiwa alete mashahidi wake sio kazi ya mahakama kumtafutia mashahidi....
Jamhuri haikuomba summons kutafuta mashahidi !!Kila mmoja apambane na hali yake
 
Hawajui tuu, ila wamemuongezea Lisu cha kuwahoji..
 
Nani aliyechapisha hayo maandishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…