Leo 16 September Mahakama inaendelea kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Off course Ni kweli
Pia naona kabisa izi safari zimepangwa kijanja kukwepa kesi,we fikiria wote watatu wapo nje ya nchi

Sisi Bado Tupo nao mpaka wakanyage mahakamani hata kama Ni baada ya miaka 7
Hawa mbwa wanaikimbia mahakama kwa makusudi. Waburutwe kwa nguvu waje kutoa utetezi wao. Wapuuzi wakubwa!
 
Serekali legelege inapinduliwa na mtu mmoja.
 
Heche anaendela kubanwa na maswali..
tulikuwa hatujui utajiri wake leo kupitia kesi hii tumejua mengi sn
Ni wewe tu umasikini wako wa akili, watu wana orojects zao halali kabisa. Isifikiri kuwa na hrla ni halali kwa wale tu waliopo CCM sababu wana access ya kodi za wananchi au kwa kuwa wana access ya project za serikali. Waliopo upinzani usidhani wana akili mgando, ni sababu wana uwezo kiakili hivyo wana access ya fursa na projects zisizohitaji kuhongwa wala upendeleo wa CCM na Serikali yake.
 
Kuna kijana hapo juu amechukua siti yangu ya mbele ☹️
Uwe mwangalifu sana. Hutakiwi kulalamika juu ya hili. Kwani huoni ni kijana wa nani huyo?
'Abdulla' akinyakua siti unalo la kusema kapuku kama wewe! EEeeenHEEeeee!

Tupo nyakati za kipekee sana hizi; usisahau.
 

SAMASI ZA MAHAKAMA ZILIPELEKWA DODOMA, JE HAWAJULIKANI WALIPO MASHAHIDI 3 WA TUNDU LISSU ?

 
ZANA [TOOLS] JINSI YA KUFUATILIA KESI HII BILA USHABIKI BALI KWA AKILI TUNDUIZI
Cheki na kusikiliza hukumu za nchi ya commonwealth zilivyoshiba umakini, tofauti na hapa kwetu


BAADA YA MAPOLISI KUHENYESHWA , HAKIMU MKAZI ATOA HUKUMU

20 January 2026
Court To Rule On Whether Nuru Okanga Has A Case To Answer In Cyber Crime Case


View: https://m.youtube.com/watch?v=qHh_3w_c1BU
 
Dawa njia pekee ni kufunga Ushahidi tu lkb kichwa kikijaaa sifa za Kipumbavu
Wkt yeye yupo Lupango
Basi
Atakaa sana tu kusubiri YESU kuja Mahakaman🫎🫎✍️i
 
Mashahidi wa upande wa Mashtaka wao tayali wamemaliza kitambo jukumu lao!!!

Kwasasa ni jukum la Lissu na wasaidizi wake kuleta chochote Mahakamani ili kumtetea

Kwaiyo Jukumu la Mashahidi wake lipo mikononi mwake yeye
Mahakama wao watasaidia tu kutoa matamko
Lkn Lissu ni ndio mwenye dhamana ya Mashahidi wake ✅️

Sio jukumu la Mahakama au upande wa Mashtaka ❌️
 
Hata mimi naona kabisa hiyo Ijumaa kutoka patupu.
Upo sahihi mkuu maana unakuwa chini ya kiapo ukizingua inakula kwako. Kwa siasa zetu za kiafrika sidhani kama kuna atakayetokea. Na hii ya wote kutokuwepo Nchini wapo vacation au😂
 
Kwani ushahidi wa Khalifa unaanzia wapi?Je haujawasilishwa??
Mshtakiwa alete mashahidi wake sio kazi ya mahakama kumtafutia mashahidi....
Jamhuri haikuomba summons kutafuta mashahidi !!Kila mmoja apambane na hali yake
wewe uliishia darasa la 7 Elimu ya sheria utaijulia wapi
 
Summons imetolewa na Mahakama
Na ni amri...

Sasa wewe kaza fuvu lako... Siku Moja upewe summons useme siendi sio jukumu langu.... Mahakama itakuchomeka kaa la moto hapo nyuma

Kuna watu wanajificha mitaani kwa Sababu ya summons ...

Shida ya Tanzania Kuna watu wanajiona wapo juu ya Sheria... IGP Kenya aligomea wito...akapewa ya mwisho ikiwapo akikaidi arrest warrant ipo..
IGP Kenya kafika na kuomba msamaha Mahakamani kusema hatarudia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…