Lissu ana akili sana. Halafu mara zote ni mtu wa kutangulia mbele.Lissu alipoomba mashahidi waitwe na mahakama alicheza kama Libasse. Kina Mnyika hawajaitwa na mahakama hivyo hata wasingekuja isingekuwa issue. Sasa hao walioitwa na mahakama wasipokuja siyo kwamba wamemmaliza Lissu bali watakuwa wameidharau mahakama.
Pia wakija lazima wakutane na Lissu na awape maelekezo ya kipi cha kuongea na wakiamua kuwa hostile witnesses basi amesema atawashughulikia.
Hawa bi mashahidi muhimu sana maana hawa wana madudu mengi sana na hawana sifa za kuwa kwenye hizo nafasi.
Wakija watakuwa na kiburi ili waoneshe Lissu alihusika na October 29 na hapo ndio wataning'inizwa maana watapigwa maswali mpaka waseme nani alitoa amri ya kupiga watu risasi.
Hawapo nje, na wanajua kila kituSidhani kama ni kweli wapo nje yaa nchi. Hawa CCM janja janja sana
Top 3 key players wa maCCM,patachimbika kwa kweli.Mh.Lissu ni kama Dr wa Upasuaji hakosei penye mshono.Ni kweli maana summon inasema unaitwa mahakamani siyo unaitwa na lissu.
Wasitupange waje tuu wale top 3 yetu
Mashahidi wako unataka mahakama ikusaidie kuwaleta?Walifika wao wenyewe pindi tu walipotajwa kuhusika na ushahidi, vipi hawa wa 3 ambao hawafiki wenyewe, mahakama si inatakiwa iwape wito? Wanataka kukimbia nini? Jukumu ni la mahakama, wasilete masikhara kwenye jambo la msingi.
Nasemaje, Tusichezeane.
Na hawajulikani wanarudi lini, wonders will never cease😂😂😂 Nje ya Nchi
Elimu ya kuunga unga na uteuzi wa kimagumashi vinamfanya aache ndala dadeki.Kweli lissu kiboko hadi mkuu wa majeshi anaacha ndala kwa visingizio
umaana kuna pesa ambazo ni posho za wanajeshi waliosimamia ulinzi tarehe 29 Oktoba hawajailipwa mpaka leo.
Wafe kabisa kwa kukosa hewaInasemekana ile october 29 CDF na IGP waliwekwa chini ya ulinzi . Ukute sasa ivi wamefungiwa kwenye store pale lumumba.
Wakuu wa ulinzi wote hawapo nchini, very shame!,Uongo, Uongo!Majaji watakuwa wanajuta kuwapa summons hao kina mkunda , kesi hizi zinaamuliwa kibabe tu , thank God dunia ni kijiji otherwise ubabe ungekuwa 100%
Wanatakiwa wao kuwaleta, mahakama iwape summons, sasa km ni jukumu la mshitakiwa, mbona mahakama iligoma kuletwa kwa Rais, makamu na waziri mstaafu? Ikiwa mshitakiwa alisema hao ni mashahidi wake??Mashahidi wako unataka mahakama ikusaidie kuwaleta?
Anapasua kwenye kichwa cha jipu dadeki wamepoteana ila si wapo watupe za chini ya kapeti km wapo ofcn kwaooooooo.Top 3 key players wa maCCM,patachimbika kwa kweli.Mh.Lissu ni kama Dr wa Upasuaji hakosei penye mshono.
Wanakula tizi la mdomo!Mkunda yupo
Wambura yupo
Kingai yupo
Hawajaenda popote
Hivi huwa mpo serious au mnatania ?MAhakama itoe arrest warrant haraka waletwe mahakamani kwa nguvu.