Leo naamka na watu wajinga wanaotaka kufanya sherehe kubwa kwa kuwachangisha wengine

Hii imeenda mkuu
 
Binadamu unawafahamu au unawasikia.

Unaweza ushiriki kwenye msiba alafu kosa dogo mfano ushindwe kula,kukesha msibani au kujitenga basi tambua watafanya hivo.

Hata ilo la Sheree tu wanaweza kukuchukulia
Hivi kwanini huwa tunakesha misibani na wengine kulala kabisa yaani unakuta nyumba full watu wamelala hadi jikoni.

Kwanini wasilale watu wachache ambao wanaukaribu na mfiwa?

Yaani tunajipa mzigo wenyewe. .tunashinda msibani siku nzima halafu tunahangaika kuchangishana pesa ya kutulisha sisi wenyewe.

Utaratibu wa ajabu sana huu.
 
kweli Uislam ,ingawaje Si uamini 😁 upo realistic kwenye masuala mengi tu! Ungekuwa mjadala wa Dini ningetolea mfano ...Good morning Faiza Foxy !
Kwani kwenye ukristo imeandikwa wapi ndoa au harusi kuwe na sherehe kubwa.
Imeandikwa wapi mazishi yawe ya gharama au msiba uwe wa siku nyingi kabla ya mazishi?

Yale yote yenye gharama kwa wakristo ni kujitakia. Shela na suti kwenye ndoa siyo lazima.
Sanduku la kuzikia na suti ya marehemu ni anasa tu. Mkristo anaweza zikwa hata na gunia au akiwa mtupu au akachomwa moto tu.
 
Hayaja ndikwa lakini tunayatekeleza sambamba na Ukristo!
 
Pamoja sana.
 
100%
 
Unajifanya umesahau siyo! Wewe mbona tulikuchangia harusi yako.
 
[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji106]
 
Aisee inakera ,Kun mtu alinipa KADI .Sikuchangia ,na hakika wakati huo nilikuwa juu ya nawe! Akiwa honeymoon Dubai alinitumia ujumbe akiniuliza ..Vipi Mkuu mbona hukunichangia?![emoji34][emoji34] Qu ...ma.....
Loooh [emoji1787][emoji1787]
 
pole sana.

Sasa kichwa si imesha choka kabla hata hujajanza kufanya kazi?

hizi mambo mengine tudogo tudogo tuwe tunatuachaga kimya kimaya tu tunachuchosha bure tu...
 
[emoji2956]
 
...Kuwaita Wajinga unakosea kidogo... Waite WAPUMBAVU ![emoji35]
Wewe Hata hunijui Vizuri Mimi, halafu nichangie Harusi ya Mwanao Anataka kuoa ?
Mimi nahusikaje Hapo ?
Kama hawezi kugharamia Harusi yake Mwenyewe, ni Wazi Bado hajakuwa tayari Kwa Ndoa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…