Leo naamka na watu wajinga wanaotaka kufanya sherehe kubwa kwa kuwachangisha wengine

Mungu hana cha kupoteza yeye atamsamehe ila shida kwako uliyeoa malaya. A hoe is forever a hoe
Sijaoa malaya bro. Trust me. Sijaoa kwa sasa ila ndoa ni kitu cha msingi kuliko unavyofikiria awe ni bikra au si bikra.
Kikubwa awe submissive na mwanaume aishi kama mwanaume.
Ubikra haudetermine ndoa kudumu au kuwa na thamani. Ni wote , mwanamke na mwanaume kufanya kazi ndoa isimame, bila reciprocation hakuna ndoa.
 
Ingawa inauma lakini ni ukweli.
 
Heshima na utii kwamune wake ndio vitu vya msingi. Kuhusu kutombwa kabla haikuhusu, you just start reading your chapter bablai.

Nyie ndio mkiwa na wanawake mnaanza kuwadadisi kwa kuwauliza kuwa wamelala na wanaume wangapi kabla ! Jinga kabisa.
 
Gari mnatumia used, nguo mtumba, simu used, wanawake ndipo mnataka brand new.
 
Mwanamme kutolea macho sana mwanamme mwenzako anavyooa, na wewe unaweza kuolewa.

Wewe fanya kivyako, acha wenzako wafanye kivyao.
 
Sijasema popote kuwa lazima tuoe bikira
 
Haifuti ukweli wa kuwa umeoa malaya
Kwani alikuambia kwamba hataki kuoa malaya?

Kwa nini unajipa umuhimu kwenye ndoa za watu usiowajua, kuwapa ushauri ambao hawajakuomba, kuhusu mambo usiyoyaelewa?
 
Bwana mdogo tafuta pesa ili uache kujliza liza kama Msimbe.
 
Mama J ni mama yetu hapa ofisini anafanya usafi. Binti yake alikuwa anafunga ndoa akapitisha kadi tukamchangia kama milioni tatu na nusu. Hela zote kapeleka kwenye sherehe, yeye kabaka kupiga mizinga mara sijala mara sina nauli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…