Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

Napinga vikali chai hii yenye pilipili nyingi.
 
DAah hongera sana kaka.
Ila kupishana maneno na kununiana si yapo hayo?
Mimi nawapenda sana Aika na nahreel wale ni mfano bora tangu udogoni
 
Napinga vikali chai hii yenye pilipili nyingi.
Mimi ninaweza kukubali ila japo kugombana kupo kupishana maneno
Ilq suala la kupiga mwanamke naweza kubali hajampga.
Kuna mzee ni anakunywa pombe yeye akirudi home ni ndani kimya.
Mwaka wa 15 hapa sijawahi kusikia mke wake akilia kwamba anapigwa ila tunasikiaga wanagombezana baada ya mda mwanaume anatoka anaondoka
 
We bwana furaha zako unataka na sisi tuanze kuchukua mifano ya vitabu kuleta kwenye uhalisia sawa mwana kukimbia kwa kujifuraisha kwaiyo tusuo na mahusiano tufanyeje
 
Napinga vikali chai hii yenye pilipili nyingi.
Kwanini? Kwa sababu amekwambia Hajawahi kumpiga Binafsi siamini kwenye kunyoosha mkono kwa Mwanamke Tangu nikiwa mdogo nilifundishwa hivyo..

Na pia hata Mimi namfundisha sana mwanangu wa Kwanza hiyo kitu sasa hivi ana miaka 22 huwa nampa somo tangu akiwa mdogo kuwa Asije akajaribu kumpiga mwanamke..

Akiwa na hasira Ni bora apige ukuta au aondoke nyumbani akapungwe upepo ila sio kunyoosha mkono kwa mwanamke
 
Basi nikiwa na hasra ntakua nikimpa pesa bandia akapigwe sokoni, Ahsante kwa somo.
 
Baba shkamoo kama una mtoto miaka 22 wewe ni baba yangu🙏🏽😂
 

Mi nina principal moja bro.
Niliwah kukaa chini nikajiuliza nini maana ya hasira. Nikagundua hasira maana yake ni kuumia kwasababu ya ujinga wa mtu. So kamwe ukiniudhi wala sikasiriki kuumia naondoka au nakaa kimya. Baadae nitakuuliza kuhusu ulichofanya nikiamin utakuwa kwenye mazingira mazuri kunipa jibu sahihi. Kuna kisa kimoja wife aliwah kufanya sio uzinz aliniwakia kwa jambo ambalo halikuwa kweli. nikaondoka home nikazima cm zote wiki 3. Hawakujua nilipo tokea hapo nilitoa condition zangu mbele ya wazazi tukishindwana usiumize kichwa. Sema unataka nini kati ya tulivyonavyo ukienda kushoto naenda kulia. Tangu cku hiyo hajawah kurudia na Mimi cjawah kumtukana wala kumpiga.
 
Hivi ni mimi nipo nyuma ya dunia au? Mimi hata majirani wa kike tu nawatia makofi shobo zikizidi habari gani kwa Mke!!
Mkuu wewe utakuwa na matatizo sio kwema kichwanI hiyo si sifa kwa mwanaume, mwanaume kugombana au kupigana na mwanamke siyo sifa kabisa.
Akianza kuongea au maneno maneno mtaani ya umbea potezea ndiyo walivyo utapigana na wangapi?
 
Daah mkuu nimejfunza kitu hapa.
 
Hongera mkuu, nasi tunaotarajia kuoa angalau unatutia moyo.
Bado naamini katika ndoa, naamini ndoa ni kitu kizuri sana kama ukimpata mtu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…