Mwendo wa ngiri safi sana kuna wengine kwenye zebra wanapita kama mamiss univMimi huwa navuka kwa kukimbia...
Hata kama gari lipo mbali....
siyo nzuri nayo kusukuma mtu ndo maafa sipendi hayo itumike njia sahihi hiyo nopKuna jamaa mmoja Magomeni mikumi pale ashaumiza boda wengi aisee wale wanaopenda kupita kwenye barabara za watembea kwa miguu kwa kuwasukuma ukipita karibu yake una bahati mbaya tayari
Mimi sina urafiki na Barabara....Mwendo wa ngiri safi sana kuna wengine kwenye zebra wanapita kama mamiss universe
Watu 10,000 hapa bongo wanakufa kila mwaka kutokana na ajali za barabarani.Tuki wait serikali ndo ifanye tutazikwa wengi mno na vyombo vya mto mkuu .
Issue ni kujaliana tu inatakiwa una ubidam utumike kwa mtu mmoja mmoja kwa kufuata sheria za barabarani uwe na kipando au unatembea kwa miguu ndo mwarobaini wa tatizoWatu 10,000 hapa bongo wanakufa kila mwaka kutokana na ajali za barabarani.
Kuna wengine magari ni ya kwao kabisaWanaomiliki magari hawana shida wenye shida ni madereva wa magari ambao gari siyo zao.yaani hawako tofauti tu na bodaboda
Watu kama hao wana tatizo la afya ya akili wanahitaji msaada #anatumia vilevi huyo jamaaKuna wengine magari ni ya kwao kabisa
Kuna mtu namfahamu akiwa barabarani ni kama ana kichaa au ulimbukeni haujawahi kumuisha
Anatukana njia nzima hua nahisi ana tatizo la akili
Binadamu wasio na kiwango kizuri cha ustaarabu hawawezi kujaliana hivyo wanahitaji usimamizi thabiti zaidi wa mamlaka smart na zenye uadilifu. Bahati mbayo tuliyo nayo hata wanaotuongoza nao ni vilaza na mafisadi tu.Issue ni kujaliana tu inatakiwa una ubidam utumike kwa mtu mmoja mmoja kwa kufuata sheria za barabarani uwe na kipando au unatembea kwa miguu ndo mwarobaini wa tatizo
Life must ,must go on unajua hilo wawepo wasiwepo akili kwa kichwaBinadamu wasio na kiwango kizuri cha ustaarabu hawawezi kujaliana hivyo wanahitaji usimamizi thabiti zaidi wa mamlaka smart na zenye uadilifu. Bahati mbayo tuliyo nayo hata wanaotuongoza nao ni vilaza na mafisadi tu.
Ndiyo anatumia vileviWatu kama hao wana tatizo la afya ya akili wanahitaji msaada #anatumia vilevi huyo jamaa
Bora mchana ila usiku hatari ni mara 100 yake.Leo nimeacha chombo changu sehemu fulani, nikatembea kwa miguu kwa muda mrefu. Kwa kweli nilichokutana nacho njiani kimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama wa watembea kwa miguu.
Nilipofika sehemu ya kuvuka barabara, nilihisi wasiwasi mkubwa. Pikipiki zinakuja kwa kasi, magari nayo yanapita kwa kasi, na wakati mwingine unalazimika kuvuka haraka huku ukitazama kulia na kushoto kwa hofu.
Cha kushangaza ni kwamba kwa muda mrefu nimekuwa nikisafiri kwa chombo, hivyo sikuwahi kuzingatia sana changamoto ambazo mtu anayesafiri kwa miguu anakutana nazo kila siku.
🦷Swali langu kwa wanaJF ni hili:🦷
👉 Kwa wale mnaotembea kwa miguu mara kwa mara, ni hatari gani kubwa mnazokutana nazo barabarani?
👉 Kuna maeneo ambayo mnaona ni hatari sana kuvuka?
👉 Tatizo kubwa ni kasi ya magari/pikipiki, kutokuwepo kwa pedestrian crossing, barabara mbovu, au madereva kutowajali watembea kwa miguu?
👉 Na wewe umewahi kukutana na tukio ambalo lilikufanya uogope kuvuka barabara?
Ukiwa unatembea kwa chombo muda wote unadhani unakumbuka mpaka siku yakukute kama mm ndo unaona kuwa tunakosea sana mwenye kuendesha vyombo barabaraniKuna uzembe mkubwa sana na umeshakomaa kwa Sasa hivi. Kuja kuutatua kutaleta tena kelele na watu wanaosaka kura ndio hawapendi hizoo...
Kuacha hali ya kwenye zebra crossing, kuna hizi njia za pembeni za watembea kwa miguu. Hizi nazo sio salama Tena! Watembea kwa miguu mjini hawana mtetezi. Wametengwaaa..
Njia zao ndio zimegeuzwaa FREMU za biashara! Unatembea huku unakwepa biashara ya mtu ametandika chini na hapo nyuma kuna boda boda Yuko Kasi anakupigia honi umpishee! Sasa utachagua boda boda ikugongee au ukanyage biashara ya mtu!
Hili waliangalie mapema. Waenda kwa miguu hawana uhuru kabisa. Haswa maeneo yenye msongamano mkubwa mjini na kwenye masoko yetu. Ni kero na wanahatarisha maisha ya watu.
Dar es salaam simba magari ,jua moto ,kuni watu sikutishi mji haufai.Ndo kifo hapo siku hizi zebra siyo sehemu salama tena
Watu huwa wanaenjoy show kuangalia ukikimbia kwa nyuma bro 😎Mimi huwa navuka kwa kukimbia...
Hata kama gari lipo mbali....
Ajali nyingi huwa usiku ,watu wanagongwa sana usiku! Hasa za wavuka barabara.Usiku mchana naona yote ni yale yale