Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
anhaaaa!!! Hiyo ya hardware ya Shirima siijui, mwaka ushaisha hapa tupige jumapili kama tisa kumi hivi kama Mungu atabless mwakani tapita maeneo hayo.Ig na fb ni sawa tik tok natumia jina la kibiashara zaidi, pale babati kama unaenda ile barabara ya Singida karibu na sheli unaifahamu hardware moja kubwa imeandikwa shirima hardware kwa Maandishi mekundu?
Ukipita hapo nishtue kama nitakuwepo upate hata mbege kidogo๐anhaaaa!!! Hiyo ya hardware ya Shirima siijui, mwaka ushaisha hapa tupige jumapili kama tisa kumi hivi kama Mungu atabless mwakani tapita maeneo hayo.
Nikifika hapo lazima ntaenda Haraa kule kuna ndugu wengi sana.Ukipita hapo nishtue kama nitakuwepo upate hata mbege kidogo๐
Hivi haraa ipo mamire?Nikifika hapo lazima ntaenda Haraa kule kuna ndugu wengi sana.
Haraa ni kule milimani mbele ya bonga ukishashika njia ya dodoma, kwenye ukungu mwingi na utajiri mkubwa wa miti ya har'i.Hivi haraa ipo mamire?
Nipe connection mkuu niachane na uzururaji mpaka nimekariri mashimo ya barabara.Kibaigwa nitakuja bwashee, sasa hivi ngoja tuzunguke kusaka chapaa kwanza ๐ mpo na tipa za mchanga nini๐
๐ mdogo mdogo mambo yatanyooka tu bwasheeNipe connection mkuu niachane na uzururaji mpaka nimekariri mashimo ya barabara.
Ooooh nimeshapafahamuHaraa ni kule milimani mbele ya bonga ukishashika njia ya dodoma, kwenye ukungu mwingi na utajiri mkubwa wa miti ya har'i.
Hahahaha bwashee wewe si wa nyumbani kabisa, mkishaona nchi ya ahadi mnakula mema ya nchi peke yenu, haya bhana.๐ mdogo mdogo mambo yatanyooka tu bwashee
Sidhani bwashee ๐Hahahaha bwashee wewe si wa nyumbani kabisa, mkishaona nchi ya ahadi mnakula mema ya nchi peke yenu, haya bhana.
Safi sananiko fit aise
๐ฅ๐ฅUje challenge iko pale pale