Leo sijaenda kazini na sijatoa taarifa, nimechoka

Binafsi napenda tu kuwa bize bize maisha yangu yote,so automatically najikuta tu napenda kufanya fanya kazi muda wote. Ni kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 2 usiku nakua kazini.
 
kaka maisha n magum sana kitu nakuambia kwenye ukoo wenu mzma hakuna ndugu wa kukupa hata laki na nusu kwa mwez ndan ya miez 6 ukiipoteza iyo kaz.. Tuko hapa tunakusubr uje ulete mrejesho
 
Hata hayo mambo yako unayofanya ni ajira, maana yake una ajira binafsi.

Nadhani utumwa unaoongelea wewe ni wa ajira ya kuajiriwa sio kujiajiri.
Mimi niliacha kazi nikawa nafanya mambo yangu kwa muda wangu. Ajira ni zaidi ya utumwa
 
Kwani nini usingechukua muda wa tafakari siku isiyo ya kazi? Haya baada ya kutafakari, umeamua nini?
 
Hata hayo mambo yako unayofanya ni ajira, maana yake una ajira binafsi.

Nadhani utumwa unaoongelea wewe ni wa ajira ya kuajiriwa sio kujiajiri.
Mkuu ajira inashabihi ujira, yaani malipo kwa kazi iliyopimwa. Shughuli zangu ni zangu,,nikipata sawa, nikikosa hewala
 
Inasikitisha sana,mtu kutafuta kazi unatoa jasho, ukipata kazi unaanza kuzingua......ukipewa barua ya onyo unaanza kuona HR Officer anakuonea......
 
kaka maisha n magum sana kitu nakuambia kwenye ukoo wenu mzma hakuna ndugu wa kukupa hata laki na nusu kwa mwez ndan ya miez 6 ukiipoteza iyo kaz.. Tuko hapa tunakusubr uje ulete mrejesho
Una uhakika na hili unalolisema?
 
Kwani nini usingechukua muda wa tafakari siku isiyo ya kazi? Haya baada ya kutafakari, umeamua nini?
Nimeamua kesho naenda Kazini then katika siku zangu 30 za off kwa mwaka naomba likizo ya siku 7 kwanza coz hii siku ya Leo haijanitosha, Yani sijapata majibu ya kile ninachokitaka
 
kaka maisha n magum sana kitu nakuambia kwenye ukoo wenu mzma hakuna ndugu wa kukupa hata laki na nusu kwa mwez ndan ya miez 6 ukiipoteza iyo kaz.. Tuko hapa tunakusubr uje ulete mrejesho
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787]
 
Madhara ya audio book ni haya kama kuna sehemu labda umegate point huwezi ukamark mfana kama unasoma kitabu unaweza fika ukurasa fulani ukaweka alama, hiyo haipo
 
Muunganishe jirani yako mmoja asiye na ajira apate hiyo nafasi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…