Africa ni kweli hamzo kwani ni uongo?Jamii zote mpaka wazungu unaowahusudu wapo wenye mtazamo wa kuoa wanawake bikira.
Dini karibu zote kubwa zinataka watu waoe wanawake wakiwa bikira.
Usitake kuzifanya jamii za afrika zionekane hamnazo.
Kuwa na maumbe makubwa ni genetics tu bwasheeUsicheke, kuna baadhi ya matobo sio poa. Mpaka Muoaji unasema kimoyo moyo hapa nimepigwa! 😁
Siku nyingine ili ujadiliane na wanaume wenye akili timamu, tuliza kichwa na sio kukaza tako au tumbo utatoa hiyo mimba.XiAkili kama hizo zenu wasaka bikira ndio zilisababisha babu zako wakatawaliwa kirahisi na kuchukuliwa utumwani na watu wachache waliokuwa wanahangaika kujua bahari zinaishia wapi wakati babu zako wanakata mauno tu na kutafuta bikira.
Usiende kuzungumza huu ujinga wenu wasaka bikira nje ya Africa, mtatuletea aibu Waafrika wote tuonekane wote ni viazi.Jamii zote mpaka wazungu unaowahusudu wapo wenye mtazamo wa kuoa wanawake bikira.
Dini karibu zote kubwa zinataka watu waoe wanawake wakiwa bikira.
Usitake kuzifanya jamii za afrika zionekane hamnazo.
Sina hofu mkuu toa namba demu wako atakuja kukusimulia magoli😂
Mzee ume sikika vyema, ongeza sauti uzidi kuwakera 😅Dhana ya kununua mitumba imetuathiri sana watanzania, kama tuna jeuri ya kununua hadi chupi used, kuna nini kinatushinda.
Ila used kama used ni basi tu hatuna hela.
Ukija huku kwingine, ni basi tu tumeshazoea, ila used haifai...nasema ni basi tu!!
Hujanielewa ,Sasa unaposema atoe namba huoni unaelezea hofu yako. Kwamba unahisi demu kugongwa kwa hiyari Yake ni big deal?
Demu anagongwa ukikamata unafukuza. Unatafuta binti Mdogo mbichi, bikira.
Hivyohivyo.
Acheni uvivu vijana.
Ninyi ndio mnawivu mpaka hamtaki wake zenu watoke licha ya kuwa mliwakuta used
Mkuu, hata nikimwoa bikra nitamwajiri mtu mwenye kibamia au uume wa kadiri Ili aje kumtoa mke wangu bikra, la sivyo nitamuuza vibaya mtoto wa watu wa hii pipe.Mabroo tunaposema muoe bikira mjue tunawatakia mema.
Eti ana degree tutasaidiana maisha, sawa mwanetu
Umejuaje hawana hofu bwashee?
Mbona unanisuta 😂Hizo bikra mnazotafuta hamzipati maana hamna usafi huo ndio maana mnalalama kama ndama alikosa maziwa ka *****
Sema itakua hauna experience ya kudate bikra aiseee wanakuaga full package.Mabikira washamba washamba tu , majamaa yanasaka point tatu za bure tu
Mimi sio wa leo bwasheeSema itakua hauna experience ya kudate bikra aiseee wanakuaga full package.
Wewe unataka bikra wakati umelomba watoto wa watu wanajaza basi la Abood eboo😁😁Mbona unanisuta 😂
Itoshe kusema bikra is overrated. Halafu mbona bikra wala haina uhusiano wa moja kwa moja na tabia ya mwanamke mkuu.Tatizo la wala used mnafikiri hofu mliyonayo ninyi ni sawa na wala vitu vipya.
Wanaume waliooa wanawake bikira hawanaga hofu kwa sababu wao ni namba Moja. Wamewakuta wanawake wakiwa sio Malaya.
Wao ndio wamewafundisha hayo yote ambayo nyie mkija mnasema wanawake wabaya sijui hawaeleweki. Lakini waliowabikiri mbona wanawaelewa.
Waafrika wapi unao wazungunzia?, au walikupa lini cheo uwasemee hili jambo?Usiende kuzungumza huu ujinga wenu wasaka bikira nje ya Africa, mtatuletea aibu Waafrika wote tuonekane wote ni viazi.
Sjui wake zako mkuu, huo ni uzoefu wako na sio kwa woteMimi ni Mtibeli.
Nina Wake Wawili. Mmoja unamjua. Mwingine humjui na sio mtu wa mitandaoni.
Na wote nimechukua Wakiwa bikira, wabichi, wadogo.
So ninachokisema ninakijua kwa uzoefu.
MwelezeItoshe kusema bikra is overrated. Halafu mbona bikra wala haina uhusiano wa moja kwa moja na tabia ya mwanamke mkuu.
Hujanielewa ,
Point yangu ni kwamba kumtoa Dem bikra sio kigezo kwamba hutagongwa
Kama unabisha toa namba
Za kutengeneza hapana mtanii, ukishakata hiyo hymen si tobo linabaki kama lilivyokuwa?😅😅Bikra zinatengezwa bwashee, tena ni jambo la fasta tu
unauhakika gan hugongewi ?Mimi ni Mtibeli.
Nina Wake Wawili. Mmoja unamjua. Mwingine humjui na sio mtu wa mitandaoni.
Na wote nimechukua Wakiwa bikira, wabichi, wadogo.
So ninachokisema ninakijua kwa uzoefu.