Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #121
Na ndio maana wengi ndoa zao huishia kwenye talaka na kukombwa vibundaUmasikini na ujima tu unawasumbua na kuwasababishia inferiority complex, Bilionea wa $ Tiger Woods sasa hivi yuko na Vanessa Trump mwenye watoto wawili wa DJT Jr. makapuku mko Tandahimba, Tanzagiza mnahangaika kusaka bikiraπ
Sasa mimi mdogo wako utanitafutie mume kweli ?Bora nifungwe lakini siwezi oa mwanamke asiye na bikra asee
Wanawake. Nadhani ndivyo alivyomaanisha niliyemnukuu.Mnatumia na kina nani?
Wapi hukoKuna mrembo wa UDSM katuunganisha Watanzania
Kasura kazuri ila sasa huko chini handaki
Majizo kamuoa Lulu,
Gigy money kaolewa na ustadh.
Aziz K kamuoa Hamisa
UnasemabππBikra mnakimbilia nyie wazee wa chips yai na tomatoe
Bwashee ,kuna namna inaonyesha hajawahi kukutana na wanawake wazuri,mimi ni mlevi ndio ila napaswa kukufundisha dunia , kuna mahali ukikaa unaweza toa boko ni kaaibika mtaniπ€£Usumbufu wa Siku moja ukizindua mgodi kwa mwanamke atakayeitwa mkeo na mama watoto wako kwetu watibeli haidhuru.
Katika vitu Watibeli hatuvumilii ni usumbufu kwa mwanamke ambaye sio bikira. Yaani mwanamke bikra Hana alafu akusumbueππ
Kuna vijamaa vinateswa Sana. Unabaki kumuuliza huyo demu anayekupelekesha ulimjyta bikra anasema hamna. Unaishia kumdharau tuu Mshikaji.
Demu hujamkuta bikra. Kuna wakulungwa kibao wamepita.
Demu uzuri wenyewe mpaka ajipodoe
Umbo mpaka avae kiminiπ
Sura kama lenzi mbinuko
Pesa hana
KAZI hana
Anakupelekesha. Yaani π π
Ndipo unagundua Mfalme huwaga ni mmoja kati ya maelfu ya watu.
Wewe uliwahi kuona watoa bikra wakipelekeshwa na wanawake au mapenzi?
Em nitumie nataka kumuonyesha paka wangu πKuna mrembo wa UDSM katuunganisha Watanzania
Kasura kazuri ila sasa huko chini handaki
Ko hao ndio reference ya role model kutoka kwa ancestors wako?.Majizo kamuoa Lulu,
Gigy money kaolewa na ustadh.
Aziz K kamuoa Hamisa
Sasa mimi mdogo wako utanitafutie mume kweli ?
Maana bikra sinaπ€
Wazee wa chisp yai tomatoes na mayonaiza wanasaka bikra kwa fujoUnasemabππ
SI ndo hapoKwani na nyie wanaume mnaoa mkiwa bikra au used??
πWanatafuta pa kujifichaWazee wa chisp yai tomatoes na mayonaiza wanasaka bikra kwa fujo
Chukua reference ya Mtume kumuoa Khadija dogoKo hao ndio reference ya role model kutoka kwa ancestors wako?.
Gigy si kapulizwa koki zote, vipi. Unge kubali mwanao wa kiume aoe?.
Eish wazee hebu oneni hiki kituko π π min -me, Robert Heriel Mtibeli, Xi Jinping
Nafatilia mjadala kwa ukaribu sana. So far naona watetezi wa malaya wamepanicNdugu Natafuta Ajira karibia kikaoni haraka sana
Sijasema nimetembea na wanaume wengi ila ndio hivyo holaaaaJitunze
Idadi uliyonayo baki nayo hivyohivyo.
Hakuna sifa kwa mwanamke kutembea na wanaume wengi.
Siku ukiolewa mumeo anageuka kibonzo tuu.
Ko hao ndio reference ya role model kutoka kwa ancestors wako?.
Gigy si kapulizwa koki zote, vipi. Unge kubali mwanao wa kiume aoe?.
Eish wazee hebu oneni hiki kituko π π min -me, Robert Heriel Mtibeli, Xi Jinping
Mimi sio muumini wa dini yoyote, nafata mila za mababu zetu wali fanya kipi kizuri niige sio kwenda ka ndama wewe.Chukua reference ya Mtume kumoua Khadija dogo
Hivi hizi tetesi ni za kweli?Wakamatwe wafunguliwe makosa ya uharibifu wa binadamu, inasemekana huko visiwani wamesababisha baadhi ya mabinti wawe wanatoa mifereji ya Hormuz tu kuhakisha nuclear haziguswi mpaka waolewe.