Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

Kuna wakati huwa naitizama stendi ya mabus naona aibu.
 
Arusha haina ukitovu wowote wa mambo ya Kimataifa labda Utalii.

Pili mgawanyo wa rasilimali unatakiwa ufuate mchango wa Mkoa husika kwenye Pato la Taifa.
 
Arusha haina ukitovu wowote wa mambo ya Kimataifa labda Utalii.

Pili mgawanyo wa rasilimali unatakiwa ufuate mchango wa Mkoa husika kwenye Pato la Taifa.
Mi nakuonaga unafact kumbe ndezi tu, Yani ni aheri kitombile wa mwanza we ni zumbukuku wa mwisho 🀣🀣Kuna mkoa Tanzania hii Kuna ofisi nyingi za kimataifa kuliko Arusha??
 
Mi nakuonaga unafact kumbe ndezi tu, Yani ni aheri kitombile wa mwanza we ni zumbukuku wa mwisho 🀣🀣Kuna mkoa Tanzania hii Kuna ofisi nyingi za kimataifa kuliko Arusha??
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨ Arusha haina ukitovu wowote.Turudi kwenye drawing board Kila Mkoa upate unachostahili.

Arusha mtapata kidogo hata Geita itawashinda πŸ€ͺπŸ€ͺ

Arusha ndio mnakula keki ya Mbeya kenge nyie.
 
Makusanyo yanaendaa wapi !?? Haujui au unatania!?? ... Haujui kwamba mapato yote Tanzania yanaendaa Benki Kuu(Serikali kuu) ndio wawapangie matumizi...si mlimsifu Jiwe .... Twendeni hivihivi....
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨ Arusha haina ukitovu wowote.Turudi kwenye drawing board Kila Mkoa upate unachostahili.

Arusha mtapata kidogo hata Geita itawashinda πŸ€ͺπŸ€ͺ

Arusha ndio mnakula keki ya Mbeya kenge nyie.
Anaekula keki ya taifa ni dodoma kutengeneza mji mkuu mpya zama hizi kwa nchi maskini kama yeti lazima miundombinu ya sehemu zingine itayumba, tayari kulikua na bunge dodoma kwanini tusingefanya kama south Africa tuwe na miji mikuu miwili hadi mitatu ikibidi badala yake tunaenda kujenga majengo mengine na kuyaacha yaliyokuwepo magofu, tunavyoongea muda huu Kuna Barbara dom hazina hata magari zinasubiri watu outer ringroad peke yake imegharimu zaidi ya bl 250 lakini tunduma border hadi Leo magari hayatembei tungeweza kuanza na hiyo kwanza lakini tatizo wewe ni team dodoma🀣🀣 huwezi kuargue
 
Wivu tu na mbeya yakoπŸ˜„πŸ˜„
Ila mbona mnawekewa njia 4 igawa hadi tunduma na flyover pale mafiat, uwanja wa songwe ni mkubwa kuliko mwanza jumlisha mradi wa tactic ukikamilika mbona mbeya itakua poa tu
Tunastahili zaidi ya hako kamradi kamoja.Tunachangia Uchumi wa Tzn Kwa Trilion 9.5 Third in Tanzania harafu unazungumzia hako ka road kamoja?

Huko Arusha mnajengewa viwanja wakati hamna hata timu Championship ,Mbeya tuna timu 2 Ligi kuu na 3 championship likewise kwenye sekta zingine.

Nyie mafisi ndio mnakula pesa ya Mbeya,turudi kwenye meza tugawane Upya pumbavu sana.
 
Machadema yamewetelekeza imagine miaka 15 yupo Lema hakuna anachofanya.

Mbeya hatutaki ujinga baada ya kumpiga Chini Sugu Sasa walau Kuna Dalili zinaonekana.
Kwani mbunge wa Arusha ni nani ?
Kuna jimbo nchi hii mbunge hatokei ccm Tena ukiachana na like la nkasi
 
Ndio maana nakwambia wewe ni zumbukuku πŸ˜„ Arusha Kuna timu mbili championship tma na mbuni mbeya Kuna timu mbili mbeya city na kengold mbeya kwanza ilishauzwa kitambo ni timu ya mtwara
 
Ndio maana nakwambia wewe ni zumbukuku πŸ˜„ Arusha Kuna timu mbili championship tma na mbuni mbeya Kuna timu mbili mbeya city na kengold mbeya kwanza ilishauzwa kitambo ni timu ya mtwara
Timu ya Mtwara yet inatumia jina la Mbeya? 😁😁 Ona huyu mbuzi.

Harafu hakuna timu itakayopanda Daraja kutoka Arusha ,mnachoweza ni bangi na kuvaa maviati makuubwa kama mafurushi ya mavi.

Turudi kwenye mada,tabia ya upendeleo wa vimikoa vya kishenzi ikome mara Moja.
 
Kwani mbunge wa Arusha ni nani ?
Kuna jimbo nchi hii mbunge hatokei ccm Tena ukiachana na like la nkasi
Baada ya Gambo ndio maana hata stand na Barabara mtapata awamu hii vinginevyo mngeendelea na bangi zenu na kina Lema πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Uko sahihi kabisa

Poor roads, Hakuna mitaro, mipango miji Iko poor na pi Kuna uchafu sana
 
🀣🀣
 
Anayependelea ni nani ilhali hatujawah kuwa na raisi kutoka Arusha hakuna waziri hata mmoja serikalini anayetoka huko??
Na sio nyie ndio mnaotucheka hatuna stendi Wala miundombinu 🀣🀣
 
cc iran RAMON
 
Anayependelea ni nani ilhali hatujawah kuwa na raisi kutoka Arusha hakuna waziri hata mmoja serikalini anayetoka huko??
Na sio nyie ndio mnaotucheka hatuna stendi Wala miundombinu 🀣🀣
Hawa wavivu wakiona Arusha iko vibrant wanadhani serikali inabeba ilhali wakati Arusha watu wanachapa kazo wao wanarogana na kuoa na kuacha kila kukicha
 
Tatizo jiji la Arusha lina siasa za kiwaki sana hasa ndani ya CCM wenyewe kwa wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…