Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

We acha tu, leo mtu anakuja kudhiaki eti barabara ya lami nyembamba, kwani huko arusha kuna foleni gani? Watu wanataka hata barabara za changarawe wanaishia kuziona kwenye tv.
Ukweli ni kwamba barabara za Arusha mjini asilimia kubwa sana zina lami, hakuna barabara yanye kilomita mbili isiyo na lami, ni mitaa michache sana sana haina lami.
Hapa naongelea mjini kati...Makao mapya, kaloleni, stand ndogo na kubwa hadi clock tower kote huko lami.

Tatizo kubwa sasa ni masoko mfano kilombero ni soko kubwa sana lakini miundombinu mibovu, stand kubwa na ndogo hazifai tena.

Kumekuwa na mvutano miaka mingi sana kuhusu kujenga stand kubwa ya mabasi.

Eneo limetengwa nje ya jiji mbali sana lakini utekrlezaji hakuna.

Arusha ni ngumu sana, imetekwa na matajiri wakubwa kila kitu kinafanywa kwa maslahi yao.

Ni mji mgumu sana kuuongozo.

Wazee wa Kilimanjaro wana nguvu kubwa sana katika jiji hili.

Kuna wakati nawateyea wachaga sana lakini ni watu hatari sana linapokuja suala la maslahi yao
 
Hao wachugastan wanazidiwa akili na wakina mangi meli?
 
Siku zijazo Arusha itapitwa na Bukoba[emoji23]

Bukoba ndo kumekucha siku hiz..
 
Mmeru hapa Arusha zaidi yupo Arumeru, Waarusha/masai wa mjini kibiashara bado hawajachangamka.

Jiji la Arusha lilikamatwa mapema na wachaga.
Store kubwa zote za majenzi ni za wachaga eg. Olotu trading, Manuu, Oisso, Mariwa, Kitonga nk.

Petrol stations nyingi za Wachaga eg. Panonone, GBp nk.

Tours company asilimia kubwa wachaga, mahotel makubwa wachaga, wauza nguo wakubwa wachaga, pharmacy kubwa wachaga.

Kuanzia biashara ya karanga hadi biashara kubwa asilimia kubwa ni wso.

Ninawasifu kwa hilo but wana hila nyingi za kibiashara
 
Hivi mbona elimu imeingia muda mrefu sana Bukoba, nini hasa iliwachelewesha kufanya mambo makubwa?

Ubishi?
Ujuaji?
Mlipaswa kuwa mbali kuliko Arusha, Moshi nk
Lakini ukweli mko nyuma, sio stand, masoko wala miundombinu kwanini?
 
Kwahiyo hao wachuga kazi yao ni kubeba mabegi ya wazungu na kuvaa manguo makubww pia kutumia muda mwingi kupuliza weed na kuolewa na wazee wa kitaliano, hawa vijana wa ovyo kabisa.
 
Hao vijana wahuni ni zao la mitaa ya Ngarenaro, unga ltd, matejoo ambapo ni mchanganyiko..wachaga, wanyaturu, warangi, waarusha nk
 
Kupitwa na Bukoba uongo ila na jiji kama la Dodoma ndiyo tunaelekea huko.
Sasa hivi mnabaki nyinyi Arusha wenye stendi mbovu...
Bukoba wanajenga stendi mbili ya mabasi na daladala hapo mjini kati...tena zina ramani nzr sana..
Bukoba port inapanuliwa na kujengewa jengu zuri sana la abiria wakisubiri meli mpya
Bukoba kunajengwa barabara ya njia nne km 5
Bukoba airport inapanuliwa na kuwekewa taa na control tower na kuwekewa VIP terminal
Kaitaba stadium inaongezewa majukwaa mapya kumbuka uwanja una nyasi bandia
UDSM wanajemga campus kubwa sana hapo Bukoba
Bukoba kunajengwa soko kuu la dagaa na samaki
Bukoba inaunganishwa na Rwanda kupitia benaco na karagwe...
Bukoba kunajengwa hospital mpya ya mkoa nzr ile ya zamani inaondolewa...

Nk nk

Arusha itaizidi Bukoba majengo na ukubwa tu[emoji23][emoji23]
Subiri muone na endeleeni kulala...
JAPO MNAPENDELEWA SANA...KUNA KIA LAKINI BADO KUNA ARUSHA AIRPORT, KUNA BARABARA YA NJIA NNE YA TENGERU, KUNA VYUO KIBAO ARUSHA NK...
 
Mvua ikinyesha hilo soko la kilombero na Samunge ni tope utadhani wapo kwenye bwawa...hiyo Stand ya hiace hapo Kilombero haieweleki ila ushuru wanachukua kila siku ukishuka huko Majengo chini mvua ikinyesha maji yanasambaa bara barani wameshindwa kujenga mitaro mikubwa kidogo sijui huko Jiji shida nini..
Magufuli alijenga stand mikoa mingi Arusha akairuka,sijui alikua na shida gani na Arusha

Mama samia anaijenga stand,soko na uwanja
Mama anaupiga mwingi
 
Hivi mbona elimu imeingia muda mrefu sana Bukoba, nini hasa iliwachelewesha kufanya mambo makubwa?

Ubishi?
Ujuaji?
Mlipaswa kuwa mbali kuliko Arusha, Moshi nk
Lakini ukweli mko nyuma, sio stand, masoko wala miundombinu kwanini?
Sababu hii hapa...
Bukoba imekuwa inaongozwa na upinzani muda mrefu...lakin ubinafsi wa viongozi wa CCM ndo waliifanya Bukoba kuwa hivyo...

Lakin sasa Bukoba imerudi kwa kasi sana...
Bukoba kunajengwa hadi mall kubwa tu siku hiz...

View: https://youtu.be/32eW_PxNXuQ?si=n8-Y9KJD0NvkQfBN
 
Sasa hivi mnabaki nyinyi Arusha wenye stendi mbovu...
Bukoba wanajenga stendi mbili ya mabasi na daladala hapo mjini kati...tena zina ramani nzr sana..
Bukoba port inapanuliwa na kujengewa jengu zuri sana la abiria wakisubiri meli mpya
Bukoba kunajengwa barabara ya njia nne km 5
Bukoba airport inapanuliwa na kuwekewa taa na control tower na kuwekewa VIP terminal
Kaitaba stadium inaongezewa majukwaa mapya kumbuka uwanja una nyasi bandia
UDSM wanajemga campus kubwa sana hapo Bukoba
Bukoba kunajengwa soko kuu la dagaa na samaki
Bukoba inaunganishwa na Rwanda kupitia benaco na karagwe...
Bukoba kunajengwa hospital mpya ya mkoa nzr ile ya zamani inaondolewa...

Nk nk

Arusha itaizidi Bukoba majengo na ukubwa tu[emoji23][emoji23]
Subiri muone na endeleeni kulala...
JAPO MNAPENDELEWA SANA...KUNA KIA LAKINI BADO KUNA ARUSHA AIRPORT, KUNA BARABARA YA NJIA NNE YA TENGERU, KUNA VYUO KIBAO ARUSHA NK...
Aliyekutangulia amekutangulia tu.
 
B
Sababu hii hapa...
Bukoba imekuwa inaongozwa na upinzani muda mrefu...lakin ubinafsi wa viongozi wa CCM ndo waliifanya Bukoba kuwa hivyo...

Lakin sasa Bukoba imerudi kwa kasi sana...
Bukoba kunajengwa hadi mall kubwa tu siku hiz...

View: https://youtu.be/32eW_PxNXuQ?si=n8-Y9KJD0NvkQfBN

Bado mna kibarua kizito sana kuifikia Arusha.
Changamkeni na muache ubishi na ujuaji.
Wahaya kuna vitu ninawakubali lakini mna ubishi wa kijinga sana, badilikeni uwezo mnao
 
Back
Top Bottom