DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
28;mbona bado Sana? Anyway niunganishe nae nimuombee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajifungia ndani anategemea watu waote kua yupo single.Huwa anajitoa out ili aonekane? Huwa anavaa vizur anapendeza anajipost? Wanaume tunapenda mwanamke mwenye furaha, sura iliyojaa nuru. Sasa yeye na mawazo yake wanaume wanamuona kama ni "problems pool"
Basi tena!!Mi kuna ambae ana 31 hana chochote mkuuuuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji238][emoji238]
Mara nyingi kibri huwa kinawaponza..utasikia nina kazi yangu, sawa olewa na hiyo kazi!Kuna mmoja ni nesi anamiaka 35 ni kiburi na jeuri na dharau na hujaolewa anagawa mbususu tu
Unakuta ratiba ni kazini nyumbani,na userious wa kutosha?Huwa anajitoa out ili aonekane? Huwa anavaa vizur anapendeza anajipost? Wanaume tunapenda mwanamke mwenye furaha, sura iliyojaa nuru. Sasa yeye na mawazo yake wanaume wanamuona kama ni "problems pool"
[emoji23][emoji23][emoji23]Nipo hapa baba huruma, maharage ya mbeya... mlete dada yako hutajuta ndugu yangu.
[emoji1787]
Kila mtu na riziki yake
EnheeeeMwache achague sana siku zake za kuwa singo maza hazipo mbali