Licha ya uzuri na elimu, dada yangu hapati mwanaume wa kumuoa

Licha ya uzuri na elimu, dada yangu hapati mwanaume wa kumuoa

Huwa anajitoa out ili aonekane? Huwa anavaa vizur anapendeza anajipost? Wanaume tunapenda mwanamke mwenye furaha, sura iliyojaa nuru. Sasa yeye na mawazo yake wanaume wanamuona kama ni "problems pool"
Anajifungia ndani anategemea watu waote kua yupo single.
Ahame mji, hiyo kukaa hapo kwenu ataolewa na nani na hapo kitaa historia ya alitoka na nani na nani inafahamika.
Watu walioenda age kama hao huoelewa na watu wa mbali huko hata historia yake haijui.
 
kuna bro wangu apa ana 35 na haeleweki ataoa lini. Naomba tufanye mafekeche ya manamba tupate kua mashemeji
 
Usikute ndo yule mdada clip yake inasambaa kule twitter anawananga wanaume "eti mwanamke aliyesoma ni classic anahitaji matunzo makubwa".


Mdada mwenyewe mweusi ana komwe kavaa miwani kama wale wanaochomelea mageti na gesi.

Kama ana tabia nzuri ni swala la mda pia aangalie mavazi anaweza kuwa na heshima ila muonekano wa nje wa mavazi unamuangusha anakuwa kama "Malaya"
 
Elimu anayo uzuri anao sasa anataka mwanaume wa kumuoa wa nini 😂😂😂😂 watu hawaoi uziri au elimu huyo dada ako hana elimu ya mtaa ambayo ndio itampa mume na kibaya ni kwamba watu washamjulia wanakula wanasepa atakuja kuwekewa mzigo inase awe singo maza soon
 
Kuolewa hakuhitaji elimu amuombe Mungu ampe mke mwema pia atoke out asijifungie ndani sana na asichague sana
 
Mwambie ahame hapo nyumbani kwenu akapange,aanze pia kujichangaya na watu miaka 28 sio mbaya
Inashangaza miaka 28 una elimu una kazi bado unaishi kwenu?kuna muoaji ataona hauko serious
 
Fanya kama baadhi ya makabila ya Asia jitwalie dada yako mkuu
 
Back
Top Bottom